Mwenye ndala zake aje Achukuee...

Hahahahahhahaha yanachekesha lakini hayafurahishi.

Hiyo inaitwa full utilisation of resources.
 
Naomba nitumiwe jamani zangu hizo, niliibiwa nikiwa nimesinzia pale uwanja wa ndege nikisubiri kusafiri.
 
Nilifikiri ndala hovyo zipo gesti tu
 
Tulia wa mchawi...

Cc Sky Eclat njoo huku mama. Kuna mtu analeta uchochezi kwenye familia yetu
Ulilala wapi leo? Kulekule? Ama umebadili kiwanja? [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…