donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Wa kwako mkuu? Mi nimemwokota maeneo ya IkuleCute
Ikule ni kijiji kiko maeneo ya Chita morogoro. Kuna Ikule,Ninga etc.Ikule ndo wapi? Au ulimaanisha ikulu?
Poa mkuu, vp mazingira uliomkuta, inawezekana katelekezwa (katupwa) au labda mwenyewe kamsahau (missplace)?Ikule ni kijiji kiko maeneo ya Chita morogoro. Kuna Ikule,Ninga etc.
Itakua wamemsahau mkuuPoa mkuu, vp mazingira uliomkuta, inawezekana katelekezwa (katupwa) au labda mwenyewe kamsahau (missplace)?
Hahaha, naona unataka kufanya adoption kimyakimya mkuuAsipopatikana mtu mimi nita mchukua na kumtunza.
Mpaka hapo mzazi wake atakapotokea iwe mwezi ujao au mika 30 ijayo.
Haahaa [emoji16][emoji16][emoji16]mwanamke akiniletea mtoto wa aina hiyo kisha akabinjua midomo akasema mtoto huyu ni wako
inabidi niwe nimekatwa kichwa ndio nitakubali