Mwenye mtaji million 100 hadi 200 tufanye biashara, nina uzoefu na idea

Moorio

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
397
552
Biashara ni Duka la Jumla spare za pikipiki aina zote

Location: Dodoma mjini katikati ya jiji
Kama kuna mwenye kiwango hiko cha pesa na hajui wapi pa kuwekeza aje DM tuingie ubia
Niko serias.
 
Biashara ni Duka la Jumla spare za pikipiki aina zote

Location: Dodoma mjini katikati ya jiji
Kama kuna mwenye kiwango hiko cha pesa na hajui wapi pa kuwekeza aje DM tuingie ubia
Niko serias.
Nadhani huyu mwenye 100M tayari kawekeza mahala ndio sababu mzunguko wake wa fedha umemwezesha kuzipata hizo fedha.
 
Biashara ni Duka la Jumla spare za pikipiki aina zote

Location: Dodoma mjini katikati ya jiji
Kama kuna mwenye kiwango hiko cha pesa na hajui wapi pa kuwekeza aje DM tuingie ubia
Niko serias.
Kama ana uwezo wa kupata milioni 100 hadi 200, basi ni dhahiri kuwa anajua wapi awekeze.
Acha uvivu, tumia huo uzoefu ulionao na idea ulizonazo upate mtaji wako.
 
Back
Top Bottom