Mwenye Mbuzi wake akamchukue jamani.

Mkazi wa kawe mzimuni kaenda pale kumchukua. Ile kujitambulisha tu kapotelewa n mbuzi akaambiwa alipe miti yote mia..na kila siku aje kuimwagili na maji kutoka kwake, lakin raia huyo ilikuwaonyesha kua yy wa mzimuni. Akamshika mbuzi wake wote wakageuka kua kuku.. Ha ha ha apa mpk General mobeyo. Kashangaaaa anamuuliza mwamunyange afanyaje. Mwamunyange kasema yy kisha livua pendo.........
 
fc0db2c933d2ecbc49ce7ceb869c3343.jpg
Huu ni ukatili!
 
Udongo Mwekundu, halafu yeye Nyayo safi, au sijui niseme miguu.

Hajavaa Viatu.

Yaani hajachafuka hata kidogo!

Hii lazima ni Filamu.


31a1c97887c245c953c29409013a9a87.jpg
 
Kwenye barua kuna maneno 'mbuzi amekamatwa' halafu 'akila miti ya bustani' halafu 'akizurura'. Kwanza wataangalia sheria ya mifugo ambayo tayari imevunjwa na mwenye mbuzi, pili kuharibu bustani.

Kama mimi ndio mwenye huyo mbuzi basi nina-assume mbuzi kaliwa na simba hivyo hamna namna ya kumrejesha.
Sasa kama mbuzi katoroka zizini nifanyeje? Mbuzi kula majani ya miti sio kosa ndio chakula chake. Nitakwenda kumchukua
 
Back
Top Bottom