Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,521
- 14,000
Wakuu,
Kuna jamaa yangu ana mzigo wake unaohitaji kubebwa na lori leo au kesho.
Mzigo upo Chalinze.
Mwenye connection ya malori ya kwenda Tanga mjini naomba msaada wa namba.
Pesa ipo mfuko wa shati.
Asanteni wote.