Tujisahihishe Tz
Platinum Member
- Nov 17, 2011
- 3,061
- 1,367
Nimeset mara kibao lakini wapi, lakini nimeona tofatu mija baada ya hii short ngoja nicheki
Mwenyewe haiji kabisa pamoja na ku set hivo,nime restart simu ila signature haiji....Nimeset mara kibao lakini wapi, lakini nimeona tofatu mija baada ya hii short ngoja nicheki
Naomba kueleweshwa tapatalk ina kipi cha ziada kuzidi jamii forum app via android.?
Mkuu hivi ntafanya je nipate Polaris viewer kwenye simu ya samsung ambayo haiji na hii app?NI KITU kimoja tu, watu wa windows phone hawana official app ya jf ndio maana wanatumia tapatalk.
Mkuu hivi ntafanya je nipate Polaris viewer kwenye simu ya samsung ambayo haiji na hii app?
Nimejaribu ku update ZIP file kutoka XDA forum ila haikubali inaleta errors
Naipenda sana Polaris viewer kuzidi hii full office maana naona Polaris office kabla ya kufungua file ina load mda afu ndo inafungua yaani kama umeizoea viewer hii office naona sio nzuri maana ndo nimeweka kwa sasa-kwanza angalia kwenye samsung store haipo? siku hizi sammy anaeka bloat chache then nyengine anaziweka store ili ukitaka uzidownload huko.
kama haipo idownload hapa
Download polaris office-5.5.1.apk | DevFiles.co - Free file hosting for Android devs!
by the way hii ni full polaris na sio viewer
Naipenda sana Polaris viewer kuzidi hii full office maana naona Polaris office kabla ya kufungua file ina load mda afu ndo inafungua yaani kama umeizoea viewer hii office naona sio nzuri maana ndo nimeweka kwa sasa
na ukiwa unasoma ppt file kwenye viewer ukilifungua tu linaingia kwenye View mode lkn hii office mpaka ui set vitu kadhaa ndo itaingia full view mode
na nasikia hii polaris viewer ni ssytem app ila ndo kwa njia ya ku Update zip in sd card kwa njia ya recovery mode inakaataa sijui sababu simu haiko rooted?
Ok asante mkuuyap huwenda sababu simu haipo rooted sababu huwezi kumodify mafile ya system kama simu hujairoot. pia itabidi ukisharoot uchange recovery kwenda custom recovery kama clockworkmod maana wanazilimit sana hizo recovery zinazokuja na simu