Mwenye Link ya Tapatalk yenye Jamiiforum please

Mwenye Link ya Tapatalk yenye Jamiiforum please

ERoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
55,882
Reaction score
131,881
Heshima kwenu wakuu...

Nina tatizo la kutumia tapatalk kwa windows phones, hasa ku access jamii forums..

Nyie wataalam naombeni msaada wenu.
 
Last edited by a moderator:
Jibu ni kwamba tumieni app ya Jamiiforums for android na iOS nyie wa windows phone itabidi wawafikirie katika hii Taptalk
 
Title yahusika nili reset simu yangu nilivyo Install tapatalk haikuja na Jf version, mwenye link anisidie nidownload au naomba maelekezo namna ya kuipata natumia window8
 
Title yahusika nili reset simu yangu nilivyo Install tapatalk haikuja na Jf version, mwenye link anisidie nidownload au naomba maelekezo namna ya kuipata natumia window8

Siku nyengine uwe una buck up!

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
nilifanya hivyo sema Jf version haikurudi tena

Mi natumia go buck up pro na Moborobo pc suite, hata nikibadili rom niki restore from buck up kilakitu kama unavyoona hapo. Inatakiwa hiyo unayo buck up tayari iwe na contact zako za jf.hii mimi hata ninki update bado jf haipotei.

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
Title yahusika nili reset simu yangu nilivyo Install tapatalk haikuja na Jf version, mwenye link anisidie nidownload au naomba maelekezo namna ya kuipata natumia window8

Hivi sasa Jamiiforums inapatikana ndani ya Tapatalk. wahi kabla hawajaiondoa usihau ku buck up.
 
Wale watumiaji wa Tapatalk! Jamiiforums inapatikana sasa kupitia Tapatalk wahi kabla hawajaitoa, ukisha fanya intall usisahau ku buck up.
f9515c50e9b80adeaafcc73f73d5d290.jpg


Hii ni kwa wote Wp,Iphone na Android.
 
Thanx @aipolo. Nilianza kuitumia late Dec. Inafanya kazi kwa wale wenye Windows platforms pia...
 
Wale watumiaji wa Tapatalk! Jamiiforums inapatikana sasa kupitia Tapatalk wahi kabla hawajaitoa, ukisha fanya intall usisahau ku buck up.
f9515c50e9b80adeaafcc73f73d5d290.jpg


Hii ni kwa wote Wp,Iphone na Android.

Mbona haitoi signature unapopost??
 
Back
Top Bottom