Mwenye kushukuru ni muungwana

Mwenye kushukuru ni muungwana

Mi nakupenda wewe mbona tena nataa nkuoe kabisa mamii
Mkuu...Huna hela, kwanzia uniahidi Range Rover huu mwaka wa nne Sasa...Sasa Wewe unatoa hela yakusuka twende kilioni ... Ukiombwa hela ya wigi..unasema takataka...LOOOH.
 
Mkuu...Huna hela, kwanzia uniahidi Range Rover huu mwaka wa nne Sasa...Sasa Wewe unatoa hela yakusuka twende kilioni ... Ukiombwa hela ya wigi..unasema takataka...LOOOH.
Ni kweli sikuwa na hela siku ile, ila kwani we unataka unipende kisa nakupa hela au ndio mapenzi kwako unayatafsiri hivyo mama?
 
Mkuu ukiandika uwe unatumia.paragraph

Nawatakia KILA.la.kheri Wewe na mahabuba wako... Mpate nusra na mkawe na kizazi kilicho chema..

Mwenyezi.Mungu awaongoze..Amin
Mkuu siku funzwa kutumia paragraph [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom