black hawk87
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 678
- 1,247
Habarini wandugu wote
Kuna wakati unaweza ukapitia mengi sana na vitu vingi sana ila kuna wakati unaweza ukafika sehemu ukasema yes hapa ndio pahala pake, siwezi sema ni nani ila kwa uwezo wake Allah basi kila kitu kitakwenda sawa, ilikuwa ngumu kuonana ila tukaonana mahala salama kabisa mazingira mazuri sana with delicious meals na binti mwenye hofu na Mungu na mwenye kumjua Mungu ,mitume na vitabu vyake na mwenye kufanya ibada na mwenye kujua thamani ya mume.
Nawashukuru wote walio anzisha hii platform imekuwa muhimu sana kwangu na kwa wengne wenye kuitumia kwa wema.
Ila wakat ukifika kila Jambo litawekwa sawa
Mana katika dini wanasema " ficheni uchumba wenu tangazeni ndoa yenu"
Nashukuru kwa kuja ahsantee Sana binti. Panapo uhai Inshallah miez michache mbele mke na mume
Wabillah tawaufq [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]