Aisee nataka nifike hapo kutembelea,View attachment 314699
hapa ni wapi wakuu
Mmh Kama njia ya kisaraweView attachment 314699
hapa ni wapi wakuu
Hakuna mlima wala msitu wa jinsi hiyo na ile lami haifikii hiki kiwango na haijapakwa wanjaMsoga road
Unajua uko jukwaa gani lakini?Bora mashule yafunguliwe ili mpungue humu mtandaoni .:-@:-@