Mwenye kujua tujuzane kuhusu masters

Sep 3, 2015
7
1
Habari zenu wadau wa JF.
Swali langu ni dogo tu kwamba eti mtu aliyesoma bachelor ya information technology(IT) anaweza kusoma engineering yeyote ile anapochukua masters?
 
ninavyojua mimi ni kua.

ili usome master ya fani yeyote ya engineering ni lazima uwe na engineering kwenye bachelor. na sio kinyume chake
 
ninavyojua mimi ni kua.

ili usome master ya fani yeyote ya engineering ni lazima uwe na engineering kwenye bachelor. na sio kinyume chake

poa man but kuna mtu kanambia eti cha msingi uwe umesoma masomo yanayokuwezesha kusoma eng. E.g pcm,pgm nakadharika
 
ninavyojua mimi ni kua.

ili usome master ya fani yeyote ya engineering ni lazima uwe na engineering kwenye bachelor. na sio kinyume chake

Na wale waliochukua bachelor ya phy au math na kusoma masters in eng
 
Na wale waliochukua bachelor ya phy au math na kusoma masters in eng

Vyuo duniani hupitana lakini kwa ujumla inabidi uwe na degree ya kwanza au equivalent kuweza kufanya masters hasa hapa kwetu Tz. Kuwa na uhakika zaidi check na prospectus ya chuo unachotaka kujoin.
 
Back
Top Bottom