TRA huduma kwa wateja,hawamo humu wajibu maswali yao? Tuwasubiri walete majibu hapa. Vinginevyo watakuwa busy kwenye siasa.Naombeni msaada wenu mwenye kujua jinsi ya kupata TIN number online wakuu
Kwa maelezo yako TIN number stationary inauzwa 2000 tsh sio?Kabla sijapata yangu,Nilienda TRA nikaelekezwa niende stationary na kitambulisho cha Nida watanijazia taarfa zangu na kuprint form ya TIN.
Nikaenda haikuchukua Dakika 10,wakaprint nikajipatia tin kwa gharama ya 2000 hapo Stationary.
Ila kama huna Kitambulisho cha Nida huwezi kufanikiwa Online,Nenda office za TRA wakusaidie,Kama una Nida iD Go online/Stationary.
Kwa maelezo yako TIN number stationary inauzwa 2000 tsh sio?
Yes hyo ni gharama ya stationary,inaweza ikapungua zaidi kama utajaza mwenyewe,kisha ukaenda kuprintiwa tu,almost gharama ya kuprint kwa stationary zote ni 1000.Kwa maelezo yako TIN number stationary inauzwa 2000 tsh sio?
Nikichukua online tu bila kwenda TRA kulipia hizo stamp kuna kinachokua kimemiss?Ingia page ya tra...then utajaza kila kitu unachotakiwa...jaza na namba ya nida .within 10min wanakuactivate..haina ugumu..then nenda tra unalipia stamp na korokoro zingine ni bure kbs...
Yes..stamp ni muhimuNikichukua online tu bila kwenda tra kulipia hizo stamp kuna kinachokua kimemiss?
R na L ni janga kwako Plus papara basi shida (yote kwa yote Nimekuelewa )Unataka tin ya nn ? Biashara au lesenj ya udeleva maana hapa kila kitu kina upatikabaiji wake, mm ninachojua huwezi kupata tin mpka uweke finger print,,kitu kingine tin hutolewa bule ,hiyo pesa unayiambiwa ni huduma ya hao wenye ofic,ukienda tra utapewa bile ila kuna usumbufu kama foleni ,nk
Na Ule muhuri wa moto unagongewa stationary?Yes hyo ni gharama ya stationary,inaweza ikapungua zaidi kama utajaza mwenyewe,kisha ukaenda kuprintiwa tu,almost gharama ya kuprint kwa stationary zote ni 1000.
Bei itaongezeka kulingana na mahali ulipo.
Finger print ya nini mkuu mimi wiki iliyoisha nimechukua TIN nilichoombwa ni kitambulisho cha TaifaUnataka tin ya nn ? Biashara au lesenj ya udeleva maana hapa kila kitu kina upatikabaiji wake, mm ninachojua huwezi kupata tin mpka uweke finger print,,kitu kingine tin hutolewa bule ,hiyo pesa unayiambiwa ni huduma ya hao wenye ofic,ukienda tra utapewa bile ila kuna usumbufu kama foleni ,nk
Hakuna muhuri wowote unaogongwa stationary.Na Ule muhuri wa moto unagongewa stationary?
PM kwa supportNaombeni msaada wenu mwenye kujua jinsi ya kupata TIN number online wakuu.