rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,548
- 42,107
kustream nyimbo ndo kuwa una helaaaaa...! Eehe kweli bongo nyosoooEti "si kila mtu anapenda kustream". Ni sawa na mtu aseme "si kila mtu anapenda private car, wengine tunapenda daladala"
Nani hapendi kustream anyoshe kidole hapa tumuone?
Kwa hiyo unapenda kudownload nyimbo?
Spotify pia unaweza kusikiliza nyimbo Offline. Hata hilo hujui? Wewe hata kustream music hujawahi... hujui hata experience ya music streaming ikoje.
Listen, una download nyimbo kwa sababu either You can't afford Streaming au kwa sababu hujui experience ya streaming.
Tutafute hela wazee tuache hivi visingizio.