Mbona hata malipo sio makubwa tena lifetimePoweramp ni mwisho wa kikao, tatizo ni ya kulipia
aimpHabar za usiku wananzengo!!
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza
Kwayeyote mwenye kujua apps nzuri ya music player kwenye simu naomba anitajie tafadhali ili ni download niweze kuskiliza good music na mimi kwenye kijitambo changu
People are so yesterday aisee..Duh,its 2023 na watu bado mko na haya maswali,acha uzamani wa kudownload nyimbo tushatoka uko,stream nyimbo mzee tumia Spotify,BoomPlay,Apple play kote huku unapata sound nzuri na options za nyimbo nyingi
Hiyo Spotify inatumia data?People are so yesterday aisee..
Spotify nalipia 6700 kwa mwezi premium..nakula ngoma with ease.
Ndio kama unastream..Hiyo Spotify inatumia data?