kuku wa kienyeji
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 494
- 151
Ni kampuni ya ulaya, hata mimi nimepigiwa simu na week ijayo naenda kwenye interview ulaya.
Ni kampuni ya ulaya, hata mimi nimepigiwa simu na week ijayo naenda kwenye interview ulaya.
Watu tumekuwa wabovu sana,yaani tunaogopa hata namba!hii ni sheedah.
Dah JF INA watu aisee
Ni ya maofisa wa white house.
Ni Za singasinga la escrow walitaka kuhakikisha kama ni wewe wawekee huko billion 1.6
Umekosa baati
Watu tumekuwa wabovu sana,yaani tunaogopa hata namba!hii ni sheedah.
imeniamsha saa saba usiku, ikaniamsha tena saa kumi. ni kerrrrrrrooooooo
Atakuwa Popobawa huyo