Mwenye kuifahamu BCom-ISM [Information Systems Management] | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenye kuifahamu BCom-ISM [Information Systems Management]

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Vodka, May 27, 2012.

 1. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mwenye ufahamu kuhusu kozi hii, naomba anidadafulie inahusu nini? Na inatofauti gani na BCom nyingine? Kwanini ni kozi ya muda mrefu sana kumalizika tofauti na BCom zingine za miaka mitatu mitatu yenyewe ni miaka 5.

  Mwenye kuifahamu tafadhali.
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Nani kakudangaya inachukua miaka 5?
   
 3. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Nimeona kwenye kitabu cha TCU mwaka huu.
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Sio kwel dogo, i have a friend anaisoma hiyo kitu pale UDOM. Ni miaka mitatu tu. Ingawa siijui jui sana sidhan kama ina tofauti sana na IT ya kawaida.

  Over
   
 5. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Duh!Miaka 5 imekuwa architecture!
   
 6. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,334
  Likes Received: 2,334
  Trophy Points: 280
  Ni miaka mi3 tu dogo wanachapa code za kibusness kama IT tu haina jipya
   
 7. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mbona mwaka huu wameandika miaka 5, hebu angalieni vizuri
   
 8. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Sasa kwanini watudanganye?
   
 9. kindogile

  kindogile Member

  #9
  May 28, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli ipo ya miaka mi5 hata mm nimeiona kwenye kitabu cha TCU ila sijajua tofauti ni ipi
   
 10. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #10
  May 28, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,334
  Likes Received: 2,334
  Trophy Points: 280
  TCU wanaichanganya sana hii coz ipo unique na sometimes wanaita Information Management na mara iitwe Management Science swala hili limefanya watu wachanganye habari na kujikuta wamechagua kitu kimoja kwa majina mawili tofauti ila full name yake Bcom Ms(information system) kundi ambalo lilichagua Informatio system walijikuta hawana Admision hadi leo sielewi watagraduate kwa jina gani hata ARIS wamekuwa hawatambuliki na kulazimika kupeleka matokeo privately.Kuna dada anayesoma hii coz pale UDOM ndiye kanifanya niyajue yote nilipokuwa namsaidia kufanya follow up baada ya kuchagua hiyo phrase kwenye bracket na kuhisi ni coz independently lingine pale UDOM coz hii haina walimu wanategemea part time hivyo ujipange kwa kufundishwa kwa mtindo wa EXTREME kama vijana wanavyofanyiwa sasa.
   
 11. It is Sur_Plus

  It is Sur_Plus Senior Member

  #11
  May 29, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  usitishike pale kwenye duration imekosewa ni miaka 3, then inadeal na information management na sio information technology direct
   
 12. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #12
  May 29, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,766
  Likes Received: 7,069
  Trophy Points: 280
  mimi nina roomate anasoma course hii ni miaka mitatu na imegawanyika kama ifuatavyo

  -semester ya kwanza na ya pili utasoma kama bcom wengine yani acounting, marketing, human resource vyote utasoma

  -mwaka wa pili yani semester ya tatu utaanza kumix kwa kusoma database na information system kama introduction

  - kuanzia semester ya 3 kuendelea utaanza kuspecialize kwenye course yako na kuanza kusoma programming mambo ya visual

  Kusema ukweli walimu extreme wanafundishwa sana tu course inamalizwa ndani ya wiki 2 ila nafkiri tatizo linaweza kuisha maana sio kwamba walimu hawapo wapo sema hawana makubaliano na chuo
  -bcom ms imekua grouped na bcom zengine so hata college wameekwa social science wakati walimu wanaopaswa kuwafundisha wapo informatics na walimu wa informatics wanademand mshahara twice kuja kufundisha huku social sababu hio ikapelekea kutafutwa part timers walimu toka sua na udsm

  Ila by the way ni course nzuri na nafkiri itakua kitanzi kwa wana it katika organisation maana hawa jamaa ni wafanyabiashara wana IT wapo fiti pande mbili wana soko sana kwenye ajira na hapa udom wanachukuliwa wachache kama 24 tu kwa mwaka
   
 13. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #13
  May 29, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  nakushukuru kwa hilo,maana hawa tcu hawajielewi kbsa
   
 14. only83

  only83 JF-Expert Member

  #14
  May 30, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180

  Hapo kwenye red,huyo dada anaitwa nani?
   
 15. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #15
  May 31, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,884
  Likes Received: 4,729
  Trophy Points: 280
  Pia nivizuru ukiweka na namba yake ya simu na block na room anayokaa kwa maelezo zaidi.
   
 16. justixen

  justixen Member

  #16
  Dec 5, 2016
  Joined: Jul 25, 2014
  Messages: 66
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  My no mwaka watatu nasoma course hiyo pale udom karibu tupige business and Information system management(combination of hardware,software,people,telcommunication and databases) how to manage and develop system
   
Loading...