mimi nina roomate anasoma course hii ni miaka mitatu na imegawanyika kama ifuatavyo
-semester ya kwanza na ya pili utasoma kama bcom wengine yani acounting, marketing, human resource vyote utasoma
-mwaka wa pili yani semester ya tatu utaanza kumix kwa kusoma database na information system kama introduction
- kuanzia semester ya 3 kuendelea utaanza kuspecialize kwenye course yako na kuanza kusoma programming mambo ya visual
Kusema ukweli walimu extreme wanafundishwa sana tu course inamalizwa ndani ya wiki 2 ila nafkiri tatizo linaweza kuisha maana sio kwamba walimu hawapo wapo sema hawana makubaliano na chuo
-bcom ms imekua grouped na bcom zengine so hata college wameekwa social science wakati walimu wanaopaswa kuwafundisha wapo informatics na walimu wa informatics wanademand mshahara twice kuja kufundisha huku social sababu hio ikapelekea kutafutwa part timers walimu toka sua na udsm
Ila by the way ni course nzuri na nafkiri itakua kitanzi kwa wana it katika organisation maana hawa jamaa ni wafanyabiashara wana IT wapo fiti pande mbili wana soko sana kwenye ajira na hapa udom wanachukuliwa wachache kama 24 tu kwa mwaka