mwenye kioo cha Samsung note2

mwenye kioo cha Samsung note2

ligolyser

Senior Member
Joined
May 9, 2013
Posts
155
Reaction score
15
habari wanandugu,naitaji display ya Samsung galaxy note2,jana ilidondoka chini ikapata creak,ivyo mwenye nacho anipm au mwenye kujua bei na wapi kinapatikana pia naomba msaada
 
Nenda kariakoo mtaa wa aggrey utapata!


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Nauza note 2 for parts 250 kioo kizima no scratch ina screen protector simu imekufa tu memory partition
 
Kwa Benson Arusha kinauzwa sh 550,000/= Sapna sh 520,000/= kuna duka fulani Mza silikumbuki vizuri jina wanauza sh 320,000/= kazi ni kwako
 
Ni kweli FD,
ninamini njia mojawapo kuu ya kuweza kujua lakufanya sasa kwa ajili ya huko mbeleni ni kuweza kuelewa utofauti kati yetu na viongozi wetu kwenye fikra.

Hawa viongozi si ndio sisi sisi huko kesho, kwanini basi maamuzi yao ni yakijinga?

Kitabu cha the Art of War by Sun Tzu kinasema:


I want to know these "enemies"!

Umeshapata kioo?
 
Nahitajii kioo cha motorola droid razr xt912 kama unacho ni pm tufanye biashara
 
Nahitaji kioo cha motorola droid razr xt912 kamA unacho ni pm tufanye biashaRa....
 
Back
Top Bottom