Perry JF-Expert Member Feb 24, 2011 10,043 2,000 Oct 12, 2011 #1 wadau kuna mtu yuko kijijini na amechaguliwa kujiunga cbe-dodoma,naomba mwenye joining ya cbe anitumie hapa
wadau kuna mtu yuko kijijini na amechaguliwa kujiunga cbe-dodoma,naomba mwenye joining ya cbe anitumie hapa
Likwanda JF-Expert Member Jun 16, 2011 3,910 1,131 Oct 12, 2011 #2 Senetor said: wadau kuna mtu yuko kijijini na amechaguliwa kujiunga cbe-dodoma,naomba mwenye joining ya cbe anitumie hapa Click to expand... Check Ktk website yao utaipata mkuu.
Senetor said: wadau kuna mtu yuko kijijini na amechaguliwa kujiunga cbe-dodoma,naomba mwenye joining ya cbe anitumie hapa Click to expand... Check Ktk website yao utaipata mkuu.
T The Priest JF-Expert Member Dec 8, 2010 1,029 256 Oct 12, 2011 #3 Wanachuo wa CBE wengi wako facebook hapa ni nadra sana kuwapata!
Lupweko JF-Expert Member Mar 26, 2009 20,690 20,451 Oct 12, 2011 #4 Senetor said: ... naomba mwenye joining ya cbe anitumie hapa Click to expand... Joining ndio nini na mimi mnipe?
Senetor said: ... naomba mwenye joining ya cbe anitumie hapa Click to expand... Joining ndio nini na mimi mnipe?
Leonard Robert JF-Expert Member Apr 22, 2011 11,064 7,196 Oct 12, 2011 #5 wa CBE watakuja mkuu,ingawa si wengi.
Mzee JF-Expert Member Feb 2, 2011 13,597 5,788 Oct 12, 2011 #6 Kwani ni lazma uje jf?. Kama unashindwa kuangalia kwenye website yao nenda chuoni kwao.
Perry JF-Expert Member Feb 24, 2011 10,043 2,000 Oct 12, 2011 Thread starter #7 Mzee said: Kwani ni lazma uje jf?. Kama unashindwa kuangalia kwenye website yao nenda chuoni kwao. Click to expand... jaman,nimeenda kwenye web yao nkaona haifunguki ndo nkaamua kuja huku kwa wadau,kama huna msaada bora ukae kimya tu mkuu.
Mzee said: Kwani ni lazma uje jf?. Kama unashindwa kuangalia kwenye website yao nenda chuoni kwao. Click to expand... jaman,nimeenda kwenye web yao nkaona haifunguki ndo nkaamua kuja huku kwa wadau,kama huna msaada bora ukae kimya tu mkuu.