mwenye joining ya cbe

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
wadau kuna mtu yuko kijijini na amechaguliwa kujiunga cbe-dodoma,naomba mwenye joining ya cbe anitumie hapa
 
Kwani ni lazma uje jf?. Kama unashindwa kuangalia kwenye website yao nenda chuoni kwao.
 
Kwani ni lazma uje jf?. Kama unashindwa kuangalia kwenye website yao nenda chuoni kwao.

jaman,nimeenda kwenye web yao nkaona haifunguki ndo nkaamua kuja huku kwa wadau,kama huna msaada bora ukae kimya tu mkuu.
 
Back
Top Bottom