Mwenye huawei unlocker

NGOGO CHINAVACH

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
943
368

Attachments

  • Capture.PNG
    Capture.PNG
    5.1 KB · Views: 33
  • Capture 2.PNG
    Capture 2.PNG
    10.7 KB · Views: 66
  • Capture 3.PNG
    Capture 3.PNG
    2.7 KB · Views: 42
Mwenyewe nlikuwa na hiyo but ilkuwa haisomi na nlifanya ten trials bila kujua ynyw inasema unlockd temporary kumbe co,afu nkajarb kuupdate firmware ya modem ika fail pia!

Xo mm na recommend use DcCRAP+universal mastercode generator
utaunlock bla problem!
 
Sorry kwa kuchelewa kukujibu nime attach version mpya ishushe below
 
Attachments

  • Huawei Modem Unlocker.rar
    26.3 KB · Views: 113
Pia lazima uwe una ume update Net Framework yako angalau to version 4, la sivyo utakuwa unapata hizo error
 
Wakuu naomba kuuliza,,je hii unlocker inauwezo wa kuunlock Huawei E153..??
Maana naona kama hii kitu ina utata sana kwenye kuiunlock..
 
Kujua kama modem yako inaweza kua unlocked fanya hivi.

1. Eka line ya mtandao ambao sio wa modem. Mfano modem ni ya voda eka line ya airtel

2. Ikikwambia enter unlock code ina maana hio modem inaweza kua unlocked

3. Ikisema the sim/usim is not specified au message yoyote inayoonyesha line haipo compatible ina maana hiyo modem ina customized firmaware.

-hapa katika customized firmware ndo kila modem ina aina yake ya uchakachuaji, nyengine una update firmware, nyengine unabadili dashboard na nyengine both unaupdate firmware na ku unlock

-modem zote za huawei zinazotaka unlock code zinaweza zikawa unlocked na hio kitu
 
mkuu m yangu ni safaricom e73
 
mkuu m yangu ni safaricom e73 customized msaada please, maana ile locker niliyopewa mwanzo inazingua
 
Mwenyewe nlikuwa na hiyo but ilkuwa haisomi na nlifanya ten trials bila kujua ynyw inasema unlockd temporary kumbe co,afu nkajarb kuupdate firmware ya modem ika fail pia!

Xo mm na recommend use DcCRAP+universal mastercode generator
utaunlock bla problem!
mkuu hii nilijaribu lakini sikufikiwa
 
Kujua kama modem yako inaweza kua unlocked fanya hivi.

1. Eka line ya mtandao ambao sio wa modem. Mfano modem ni ya voda eka line ya airtel

2. Ikikwambia enter unlock code ina maana hio modem inaweza kua unlocked

3. Ikisema the sim/usim is not specified au message yoyote inayoonyesha line haipo compatible ina maana hiyo modem ina customized firmaware.

-hapa katika customized firmware ndo kila modem ina aina yake ya uchakachuaji, nyengine una update firmware, nyengine unabadili dashboard na nyengine both unaupdate firmware na ku unlock

-modem zote za huawei zinazotaka unlock code zinaweza zikawa unlocked na hio kitu

shukran sana mkuu lakkn kwangu imegoma maana natumia safaricom(customozed firmware) kama ya prakatatumba
 
mimi sina hiyo modem lakini tip hii ni muhimu kujua.

Haina maana kila firmware ya modem yako ipo compatible na modem yako. Hio firmware lazima iwe ya mbele. Mfano modem ya airtel india inaweza kua e153 ikawa unlocked na firmware flani na tigo tanzania wakawa na e153 lakini isiwe unlocked na hio firmware.

je ntajuaje firmware ya modem yangu?

Hapa kwanza itabidi ujue version ya modem yako kujua tumia software kama dc unlocker modem ikiwa detected utaona software version ya modem yako mfano 11.609.18.00.158

Ina maana software utakayotumia ku upgrade lazma iwe mpya zaidi ya hiyo lasivyo utakua unatumia software ya ku upgrade kwenye kudowngrade lazima ufail hapo.

Narudia tena haina maana firmware ya india lazma iunlock modem yako maana kuna watu wanashindwa kwa firmware za india wanaconclude hizi modem zimeshindikana wakati software version yake ni ya zamanii. Na hii inasababishwa na sisi kua wa mwisho kuletewa hizi modem so tunapata version mpya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom