Mwenye hii kitu tafadhali inahitajka

Mwenye hii kitu tafadhali inahitajka

Milale

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
494
Reaction score
189
Habar zenu wanajf, Mimi ni fundi cm' mi nahitaji sehemu ya kufanyia kazi yangu,sehemu yenye mzunguko wa watu wengi, kiwe kibanda au kinafasi kidogo tu, maana kama unavyojua sehem,kama hizo fremu zake ni bei ghari na mm huo uwezo cna, Anayeweza kunisaidia kwa hilo nitashukur
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom