Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,713
- 186,442
Natafuta galaxy note 3 original, ikiwa mpya au used sio shida ila iwe katika hali ya kuridhisha kiasi cha kunishawishi kukutunukia kiasi cha tshs tembo 40 chap chap (400k), naihitaji leo kabla jua halijazama na kuitwa usiku wa Jumamosi, mwenye nayo ani pm tafadhali
NB: ISIWE NA MAPUNGUFU YOYOTE YASIOVUMILIKA
NB: ISIWE NA MAPUNGUFU YOYOTE YASIOVUMILIKA