Mwenye disci ya ID 500GB aje tufanye biashara.

Mwenye disci ya ID 500GB aje tufanye biashara.

mwenye disci ya ID 500GB aje tufanye biashara.
Bila shaka unamaanisha IDE. Japo hujasema ni ya laptop au desktop.

Anyway. Kupata IDE ya size iyo ni issue sana. Ni sawa na kutafuta Simu ya kizamani mfano. Tecno P3 af iwe na android 8.

Kwa kifupi, IDE ni mfumo wa kizamani wa Storage device. So kupata Disk kubwa hivyo ya IDE ni shida
 
Back
Top Bottom