Mwenye digrii za Marketing kibao anashindwaje kujua exchange rate kwenye interview ya exporting company inayohitaji Export marketing director?

Kuandika barua ya maombi ya kazi mpaka kuhudhuria interview ni moja ya weekness kubwa sana kwenye maisha.

Yaani unapambana uridhishe takataka mmoja as if anakusaidia saana maisha.

Mtu kama huyo hata ukimwajiri anatakiwa kika siku awe anakulamba makalio, boss boss, boss ili aishi.
Samahani ndugu yangu, wewe hapo ulipo umeajiri watu wangapi?
 
Besides marketing director anakuwa subordinates wa ku deal na hayo mambo, yeye ni mtu mkubwa sana ku deal na daily exchange rates.
Kwa hiyo ukubwa wake wakimdanganya na subordinates is it ok? sababu yeye ana misuti mikubwa gar mirupurupu mikubwa na nyumba kubwa anayolipiwa na kampuni?
 
Nimepata shock kampuni yetu tulipewa tenda ya kutafuta export marketing director wa kampuni inayo export bidhaa marekani yenye matawi Tanzania mshahara USD 12000 sawa na roughly milioni 25 kwa mwezi .Serikali ilisema haitaki kampuni za nje ziajiri wageni kwenye fani ambazo ziko nchini kwenye vyuo vyetu.

Interview ilipangwa ifanyike saa tisa mchana kutoa nafasi exchange rate ziwe zimesha chapishwa na mabenki yote na bureau de change zote ambazo huchapisha exchange rate maximum huwa saa tatu asubuhi hivyo interview ikianza saa tisa muomba kazi atakuwa anazo ili azitumie kwenye written intervew saa 9.

Tuka comply na serikali inayotaka ajira zote zipewe wazawa kwenye fani ambazo zinapatikana ndani ya nchi sababu maketing degree ziko kibao Tanzania maswali matatu kwenye written intervew yalikuwa academic kupima uwezo wa muombaji kazi kama kweli kasoma na asilimia 99 walijibu vizuri mno yalikuwa na marks 40.

Swali la nne lilikuwa more practical lilihoji exchange rate ya shilingi ya Tanzania na dola leo ni shilingi ngapi likiwa na marks 60 ?.wameshindwa kujibu very sad.

Majibu waliyoandika ni aibu wengine waliandika that is outside of my study and my majerting proffession nk.

Hivi nini hicho? Nadhani kuna shida mahali kwa wasomi wetu.
Mkuu kazi kama hizo mwe mnatatufuta vijana tunaoshinda na exchange rate kila siku.
 
Ishu ni kua huyuu jamaa anaexpect watu wafeli ili alete uzi hapa. Haleti mirejesho ya waliofanya vizuri analeta yale/wale waliofeli tu.
Hata siku wakijibu yote vizuri utatafuta tu sababu ukosoe. Mliokwenye system mna tabia ya kuona wenzenu wasioajiliwa ni wazembe sana, wasio na maarifa, wasiojiongeza hamnaga tofauti yenu na wanasiasa wanaopigia chapua kujiajiri na kutotegemea ajira ilhali wao hawajawahi kuishi nje ya ajira zao hata kwa masaa tu.
 
nne lilikuwa more practical lilihoji exchange rate ya shilingi ya Tanzania na dola leo ni shilingi ngapi likiwa na marks 60 ?.wameshindwa kujibu very sad
My friend; this is not a practical question. Hata nyie inaonesha kampuni yenu haijui inachokifanya. Kujua exchange rate ya muda huo haidaidii kwenye export trade
 
nyinyi ndio hamna akili,hela inabadilika kila sekunde,hilo swali huwezi ukajibu kiusahii
Kimsingi hili si swali la kibiashara . Linaweza kuwa la kibiashara iwapo mlengwa anatakiwa kufanya biashara ya fedha moja kwa moja
 
Sio nongwa wasomi wetu wajiongeze waache kumeza tu notisi ili wapate digrii .Interiew sasa hivi zinaenda outside the box but withini your proffession hazitoki nje ya proffession yako.

Wengi hawana kazi sababu wakiomba wakienda written interview hawatoboi kwenda next stage ya oral interview.
Wazozaa Sana Ndugu CEO. Ukimpekua huyo degree holder hakosi hirizi hapo
 
Utakuwa wewe ni kilaza hufuatilii vyombo vya habari hata mambo ya uchumi wa nchi yako? utakuwa msomi wa aina gani sasa tena wa biashara? kama hata ubadilishaji wa fedha hujui hata rate ya mwaka jana tu soko la hisa hapo daslam linakupa hata uelekeo hata wakujibu swali lako.badala ya 60marks angalao anaekusaili atajua huyu jamaa kwa kiasi fulani yuko sawa unapewa hata 35%

Back
Top Bottom