Mwenye digrii za Marketing kibao anashindwaje kujua exchange rate kwenye interview ya exporting company inayohitaji Export marketing director?

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,904
Nimepata shock kampuni yetu tulipewa tenda ya kutafuta export marketing director wa kampuni inayo export bidhaa marekani yenye matawi Tanzania mshahara USD 12000 sawa na roughly milioni 25 kwa mwezi .Serikali ilisema haitaki kampuni za nje ziajiri wageni kwenye fani ambazo ziko nchini kwenye vyuo vyetu.

Interview ilipangwa ifanyike saa tisa mchana kutoa nafasi exchange rate ziwe zimesha chapishwa na mabenki yote na bureau de change zote ambazo huchapisha exchange rate maximum huwa saa tatu asubuhi hivyo interview ikianza saa tisa muomba kazi atakuwa anazo ili azitumie kwenye written intervew saa 9.

Tuka comply na serikali inayotaka ajira zote zipewe wazawa kwenye fani ambazo zinapatikana ndani ya nchi sababu maketing degree ziko kibao Tanzania maswali matatu kwenye written intervew yalikuwa academic kupima uwezo wa muombaji kazi kama kweli kasoma na asilimia 99 walijibu vizuri mno yalikuwa na marks 40.

Swali la nne lilikuwa more practical lilihoji exchange rate ya shilingi ya Tanzania na dola leo ni shilingi ngapi likiwa na marks 60 ?.wameshindwa kujibu very sad.

Majibu waliyoandika ni aibu wengine waliandika that is outside of my study and my majerting proffession nk.

Hivi nini hicho? Nadhani kuna shida mahali kwa wasomi wetu.
 
Interview hiyo ishakuwa nongwa

Ova
Sio nongwa wasomi wetu wajiongeze waache kumeza tu notisi ili wapate digrii .Interiew sasa hivi zinaenda outside the box but withini your proffession hazitoki nje ya proffession yako.

Wengi hawana kazi sababu wakiomba wakienda written interview hawatoboi kwenda next stage ya oral interview.
 
exchange rate zinaweza kubadilika mda wowote, ya saa tisa inaweza isiwe ya mda wa interview, exchange rate sio kitu cha kukariri kuna calculator maalum kama ya microsoft inakupa exchange rate mda wowote utaotaka wa hela yoyote duiani at an instant time, mnakomoa watu nyie! Lakini siwashangai nyie wenyewe ni zao la elimu hiyohiyo mbovu ,hapo hamchekani
 
Nimepata shock kampuni yetu tulipewa tenda ya kutafuta export marketing director wa kampuni inayo export bidhaa marekani yenye matawi Tanzania mshahara USD 12000 sawa na roughly milioni 25 kwa mwezi .Serikali ilisema haitaki kampuni za nje ziajiri wageni kwenye fani ambazo ziko nchini kwenye vyuo vyetu

Interview ilipangwa ifanyike saa tisa mchana kutoa nafasi exchange rate ziwe zimesha chapishwa na mabenki yote na bureau de change zote ambazo huchapisha exchange rate maximum huwa saa tatu asubuhi hivyo interview ikianza saa tisa muomba kazi atakuwa anazo ili azitumie kwenye written intervew saa 9

Tuka comply na serikali inayotaka ajira zote zipewe wazawa kwenye fani ambazo zinapatikana ndani ya nchi sababu maketing degree ziko kibao Tanzania maswali matatu kwenye written intervew yalikuwa academic kupima uwezo wa muombaji kazi kama kweli kasoma na asilimia 99 walijibu vizuri mno yalikuwa na marks 40

Swali la nne lilikuwa more practical lilihoji exchange rate ya shilingi ya Tanzania na dola leo ni shilingi ngapi likiwa na marks 60 ?.wameshindwa kujibu very sad

Majibu waliyoandika ni aibu wengine waliandika that is outside of my study and my majerting proffession nk

Hivi nini hicho? Nadhani kuna shida mahali kwa wasomi wetu
Hilo swali ni la kipuuzi.

Exchange rate ya wapi?

Unaelewa kwenye free market hakuna exchange rate moja?

Unategemea mtu awe anatembea anakariri exchange rate kila siku?
 
Hiyo kampuni yenu imejaa wakuda😀😀 Interview zenu zote ni za kukomoa au mkichelewa kumpata mfanyakazi mkirudia interview na nyie ndo mnapata Tena posho na kuboost mshahara mwisho wa mwezi.😎
 
Swali la nne lilikuwa more practical lilihoji exchange rate ya shilingi ya Tanzania na dola leo ni shilingi ngapi likiwa na marks 60 ?.wameshindwa kujibu very sad
Exchange rate ya kununua au kuuza? Ya CRDB,NBC,BUREAU au BOT?!!!!
 
Exchange rate ya kununua au kuuza? Ya CRDB,NBC,BUREAU au BOT?!!!!
Zozote ziwe za kuuza au kununua issue ni kuwa at least yuko ok anaijua daily rate ambayo yaweza kuwa verifiable hata mtu angetoa hata ya bureau de change yeyote ingekuwa sawa tu.Akisema tu according to this bank or this bureau de change by the time nakuja interview it is ok .It will be verifiaide if ok ataendelea next stage
 
exchange rate zinaweza kubadilika mda wowote, ya saa tisa inaweza isiwe ya mda wa interview, exchange rate sio kitu cha kukariri kuna calculator maalum kama ya microsoft inakupa exchange rate mda wowote utaotaka wa hela yoyote duiani at an instant time, mnakomoa watu nyie! Lakini siwashangai nyie wenyewe ni zao la elimu hiyohiyo mbovu ,hapo hamchekani
Haina shida a quote yeyote aseme by the time nakuja interview asubuhi sana ilikuwa hii hapa iwe ya Bot au banks au any bureau de change it is acceptable na ina change haiko static kwa data zangu za asubuhi angekuwa kapata swali vizuri tu bila shida

Tatizo mtu anakuwa mtupu kabisa kichwa cheupeeee!!!
 
Ndio mahana wanakimbiria kwenye siasa majitaka za CCM bambako ni uongo tu unahitajika
Interview za sasa hivi waajiri wengi wanawatumia HR private consuktants kutunga maswali

waombaji hata wawe elfu tano wanahitajika wawili kuna swali HR private consultant akitunga shughuli pevu
 
Miaka michache (chini ya 5) iliyopita, nilikua nahitaji kijana msomi na makini mno ili asimamie biashara yangu mpya. Niliwafanyia interview graduates 32 na sikupata mtu. Mama yangu akaniambia tafuta chuo chochote Dar, ulizia mwalimu wao wa biashara, mwambie nature ya biashara yako, muombe akupe wanafunzi waliomaliza ambao anaona watafaa kwa biashara yako. Alafu muahidi akikupatia mtu sasa, utamlipa laki 2.

Nilifanya hivyo, nikatanguliza 50. Huyo mwalimu alisema anae mtu ila alikua ana mreserve kwa ajili ya project yake mwenyewe. Alinipa namba siku hio hio, nikamfanyia interview kesho yake, na kumpa ajira bila hata kuona hio degee yake. Alikua ni kijana sahihi sana kwa biashara yangu, na yeye nikampa jukumu ya kutafuta wasaidizi wake wa ngazi za chini. Hamna pesa niliyowahi kuitumia vizuri kama hio laki 2 .

Katika hii miaka 10 iliyopita, mie binafsi nimeshawanyia interview vijana zaidi ya 700, nafasi tofauti tofauti, kati ya hao, graduates zaidi ya nusu, na kati ya hao, walioweza kupata ajira, hawazidi 20. Tatizo kubwa ni vijana hawajiongezi, hawaendi the extra mile required, uaminifu ni tatizo kubwa mno, hawasomi vitabu au majarida kuona dunia inaendaje kwa sasa, kuna university of 'utube', ni bureeee ila vijana wako busy kuona diamond kazaa na nani, tako la bby mama wake ni lake au kigodoro, na vyote hivyo vinatumia bando. Ukienda nchi jirani tu hapo, unaweza kua na nafasi 2 ila wanaofaa hio nafasi zaidi ya 15, unachanganyikiwa umuache nani, umchukue nani. Ila hapa nyumbani, kuna tatizo kubwa mno la vijana wetu kwenye issue ya interviews na ajira kwa ujumla.
 
Haina shida a quote yeyote aseme by the time nakuja interview asubuhi sana ilikuwa hii hapa iwe ya Bot au banks au any bureau de change it is acceptable na ina change haiko static kwa data zangu za asubuhi angekuwa kapata swali vizuri tu bila shida

Tatizo mtu anakuwa mtupu kabisa kichwa cheupeeee!!!
huko ni kukomoana ndugu kua vitu viko automated kwa kwa ajili ya mambo hayo ku monitor exchange rate , and a perfect employee does not exist, hapo hapo kwenye hiyo field yako hata mimi nawea kukufanyia interview na usipate hata 10%
 
huko ni kukomoana ndugu kua vitu viko automated kwa kwa ajili ya mambo hayo ku monitor exchange rate , and a perfect employee does not exist, hapo hapo kwenye hiyo field yako hata mimi nawea kukufanyia interview na usipate hata 10%
jamaa kaona bonge la swali kumbe kauliza ujinga , kila sekunde thamani ya hela inabadilika ndio maana zinatofautiana benki kwa benki
 
Back
Top Bottom