Mwenye CV ya Mwl. Christopher Mwakasege aiweke hapa

Mwenye CV ya Mwl. Christopher Mwakasege aiweke hapa

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
15,812
Reaction score
40,298
Nipo Arusha kwenye semina ya mwakasege aisee huyu mzee ni mchungaji hasa anakipaji Cha kujenga hoja na kushawishi pia ni orator mzuri mno hachoshi kumsikiliza hakika amenibariki Sana. Jina la bwana lihimidiwe kupitia huyu mtumishi wa Mungu.

Naomba mwenye CV yake AIWEKE hapa na niliwahi kusikia ni mchumi mzuri na mkapa alimtumia naomba authentication ya haya.

Mungu mbariki mwakasege.
 
Sina cv yake. Mimi namheshimu ila ninawasiwasi na doctrine yake ya "mzaliwa wa kwanza lango la baraka"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo Arusha kwenye semina ya mwakasege aisee huyu mzee ni mchungaji hasa anakipaji Cha kujenga hoja na kushawishi pia ni orator mzuri mno hachoshi kumsikiliza hakika amenibariki Sana. Jina la bwana lihimidiwe kupitia huyu mtumishi wa Mungu.

Naomba mwenye CV yake AIWEKE hapa na niliwahi kusikia ni mchumi mzuri na mkapa alimtumia naomba authentication ya haya.

Mungu mbariki mwakasege.
Si mchungaji ni Mwalimu
 
Nasikia alimtanguliza sedekia kuzimu hadi leo yupo kule anatumika kuimba!!!WANAOJUA WATUHAKIKISHIE!MI NILISHA POTEZA IMANI NA HAWA WATU!!!
USIAMINISHE WATU USHETANI WAKO KM UMEAMUA KUA MTUMWA WA SHETANI KAA IVYO IVYO AUNA IMANI NA HAWA WATU SI UACHE NANI KAKULAZIMISHA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USIAMINISHE WATU USHETANI WAKO KM UMEAMUA KUA MTUMWA WA SHETANI KAA IVYO IVYOd AUNA IMANI NA HAWA WATU SI UACHE NANI KAKULAZIMISHA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nina historia kubwa na hawa watu wanaosema roho mtakatifu ddjkasema!Roho mtakatifu kasema agano hili la kichawi linavunjwa kwa sh.200000/=,kumkomboa mtoto kutoka kwenye mizimu sadaka ya 20,000/= roho kasema!!!NINA HISTORIA NA HAWA WATU NA MAHUBIRI YA SADAKA ZAO ZA UKOMBOZI NA UTAJIRI WA KUBARIKIWA SIJAKURUPUKA MIMI SIO MJINGA WA IMANI HIZI!!Niliwahi shiriki semina zake!!!!Acheni ujinga wa kuamini kila kitu!!
 
We jamaa ni kati ya watu wa hovyo kuwahi kutokea duniani! Pumbavu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
NENO Linasema ijaribu kila roho ya kwamba imetokana na mungu!!!sasa wewe unaeamini kila mhubiri umekuwa punguani????hata yesu aliambiwa ana pepo sasa wachungaji wa sasa wasikosolewe???wao kina nani?mi nilisikia hayo REDIONI KUWA KUNA MTUMISHI ALIMTOA SADAKA MWIMBAJI WAKE KWA FREEMASON!TENA ALIMTOA KAFARA UGENINI TENA NCHI YA MBALI!!!SASA NIAMBIE SEDEKIA HAKUFIA ISRAEL?NITAJIE NANI MTUMISHI MAARUFU ALIEFIWA NA MWIMBAJI UGENINI TENA NCHI YA MBALI ?ZAIDI YA YEYE HAPA TZ???RFA KIPINDI SITOSAHAU!!!
 
Back
Top Bottom