Ndio Jestina, Jamaa yuko mahabusu sasa hivi (labda kama kahonga katolewa sasa hivi) lakini mpaka nalala Jana alikua anashikiliwa na polisi kwa kosa la kujihusisha na madawa ya kulevya, amekua akitajwa muda mrefu kama mtu anayesafirisha mihadarati na kujihusisha na mtandao wa madawa ya kulevya, ndio maana yeye na mke wake huwa wanatumia pesa hovyo, si unajua drug dealers hawaumizi kichwa kuhusu matumizi? pesa haramu nyepesi sana
alinaswa nyumbani kwake na alikua kajificha juu ya dari ya nyumba, polisi wakamchoropoa hukohuko, uchunguzi wa awali unaonyesha mke wake anajua A to Z juu ya biashara ya mumewe, alijitahidi hata kuficha ukweli pale polisi walipowavamia nyumbani kwao, kisheria huyu naye ni mhalifu
baraka boki uko wapi? uzi wako uliolala kwa takriban mwaka na nusu umeamka.
Hongera.
Heaven on Earth jack anaringa jamani,mashauzi ptuuu utafikiri hanyi.
Huwa tunaonana mara kwa mara saloon kwa jack manyanya yaaaani aiyayayaya.Mwanamke mashauzi sasa ataiona jun july.
Alipokuwa na bint kiziwi mpaka akakamatwa akamkimbia akafikiri amewin kumbe wenzake wanammemndea.
Ila ubongo wa kondoo ubongo wa kondoo tu huyu alikuwa na bint kiziwi wote mpaka mwenzie akashikwa wapo pamoja bado akarudi kulekule na mzigo?kisa aende eatv sijui clouds kusema kuwa: i live a very expensive life,my gown from zarra usd 1800,this is diamond ring i bought it in germany.............bla bla kibao.
Atasugua gaga uchinani.

Natamanije afungwe ili iwe fundisho sema anaweza kutolewa kama masogange.Halafu sasa wakiachiwa wanarudi na mashauzi zaidi ya yale ya mwanzo sasa.Hii serikali yetu bana.Tokea masogange aachiwe huru sina imani kabisa kama huu atafungwa,atatolewe tu,subirini mtaona.Heaven on Earth jack anaringa jamani,mashauzi ptuuu utafikiri hanyi.
Huwa tunaonana mara kwa mara saloon kwa jack manyanya yaaaani aiyayayaya.Mwanamke mashauzi sasa ataiona jun july.
Alipokuwa na bint kiziwi mpaka akakamatwa akamkimbia akafikiri amewin kumbe wenzake wanammemndea.
Ila ubongo wa kondoo ubongo wa kondoo tu huyu alikuwa na bint kiziwi wote mpaka mwenzie akashikwa wapo pamoja bado akarudi kulekule na mzigo?kisa aende eatv sijui clouds kusema kuwa: i live a very expensive life,my gown from zarra usd 1800,this is diamond ring i bought it in germany.............bla bla kibao.
Atasugua gaga uchinani.
afu nimegundua warembo wote wanaoenda guanzghou sijui thailand kazi ni moja tu.hahahaaa mie namuonaga tu huko Insta akitupiamo ma pic nampendaje
najisemea huyu mdada anavaa classy acha tu kumbe nae punda tu sa jana ndio nimepata
hizi habari na aliaga anaenda Iringa kumbe ana yake majambo...na pale alivaa malapa hakuna
cha CL wala Louis Vuitton...
Hiyo ya EATV niliona eti ana clear closet yake every year nikajiuliza sa hela anapata wapi hata kama
ni muhongaji basi anajua kuhonga maaana huo mda alikuwa keshaachana na Fundikira kumbe anachokifanya
ni wale wale kasoro majina........
Macau ni administrative region ya China haipo Thailandkwani si amekamatwa tayari huko Macau,Thailand
Hahahaaa...sasa yamemkuta.... nature is always absolute...Heaven on Earth jack anaringa jamani,mashauzi ptuuu utafikiri hanyi.
Huwa tunaonana mara kwa mara saloon kwa jack manyanya yaaaani aiyayayaya.Mwanamke mashauzi sasa ataiona jun july.
Alipokuwa na bint kiziwi mpaka akakamatwa akamkimbia akafikiri amewin kumbe wenzake wanammemndea.
Ila ubongo wa kondoo ubongo wa kondoo tu huyu alikuwa na bint kiziwi wote mpaka mwenzie akashikwa wapo pamoja bado akarudi kulekule na mzigo?kisa aende eatv sijui clouds kusema kuwa: i live a very expensive life,my gown from zarra usd 1800,this is diamond ring i bought it in germany.............bla bla kibao.
Atasugua gaga uchinani.
Kweli wewe ni Kionambali... I admit..jana nilikuwa naangalia kipindi cha chartroom katika clouds tv nikakuta huyo mrembo anajisifu kwamba anapesa embu mwenye cvs yake atujuze huyo mrembo alipotokea
Baraka Boki (MEng,MBA from Duke University)
Natamanije afungwe ili iwe fundisho sema anaweza kutolewa kama masogange.Halafu sasa wakiachiwa wanarudi na mashauzi zaidi ya yale ya mwanzo sasa.Hii serikali yetu bana.Tokea masogange aachiwe huru sina imani kabisa kama huu atafungwa,atatolewe tu,subirini mtaona.
jamani ana uzee gani kijana yule,wanaweza kuwa nazo si wauza unga maarufu mjini
Kashikwa lini!!!!!!!!!!!!!