GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,415
- 127,507
HATARI PALEEEE MBiga wa mbwiguke ..wemberu wemberu sako la nyani ngedere hawakosi ,eee ndio mbwiga umeona wapi sanamu likaamkiwa...? BIG UP MBWIGA WANAO KUDIS WANAKUBALI KAZI YAKO...ET CV ..wewe cv ndio inatangaza ? hata kauweledi kakuzaliwa kanatosha VYETI vyenyewe mnafoji ...UKIONA TANGAZO LIMECHANWA UJUE LISHASOMWA...mbona kuna host kibao wafanya pumba kwenye tv/radio staions ,ACHEN HIZO BANDUGU KILA MBUZI ATAKULA KWA UREFU WA KAMBA YAKE ....Wenye vimastars baadhi tunasota na wenye std 7mjiin na wengine std7 wametusua kuliko..... KUMDISCUSS MTU AMBAYE ANAREKEBISHA NJIA YA CHOONI ISIOTE NYASI NI UMBURURA NA SIO BURE UTAKUWA UMEVURUGWA .....MBWIGA UPO JUU ....
,

M-Tz kula likeeee kubwa..unanuna nini maisha umeyakosea mwenyewe utakua kama jogoo unawahi kuamka na kuwika lakini mlango huwezi kuufungua...hamna hamna ndo mlimwamo mjini mipango ohooo jipangee...#teammbwiga
Hamuwajui vizuri hawa jamaa wanaojiita clouds watamtafutia chuo wampe DK wa heshima na mbwembwe zake (kwa lafudhi yake) utasikia "DK MBIGA MBWIGUKE MKOLE WA NYANI KIBWAYA MKIA
Habari wana JF, hii asubuhi Mbwiga ameshindwa ku peruzi magazeti Clouds fm, sidhani hata kama darasa la saba alimaliza, mwenye CV yake atujuze tafadhari.
Nawakilisha.
Du! Itabidi aanzie nursery school maana hajui kusoma hasa maandishi madogo madogo, mpaka apate PHD atakuwa na umri kama Mugabe.
Body without head
Haina tofauti na ya dr Slaa mbona?
Mbwiga alikua msemaji wa jeshi la anga nchini Tanzania, baadae akaamia TAMISEMI then akala mpunga alipo sasa. kweli hata mimi nilisikiliza p.breakfast asubuhi ilikua ovyo sana, au labda hakujipanga.
Mdomo wake ajira tosha c.v mbwembwe tu!....dah!bongo noma hadi mbwiga analetewa zengwe duh!
Mbwiga si mtangazaji clauds bali ni mshehereshaji wa baadhi ya vipindi.
Kwa ufupi tu Mbwiga ni mtoto wa mjini nawewe kama ni wakuja Dar Mbwiga humuwezi.
Sie tulioishia darasa la saba, tunatukanwa sana na kudhalilishwa kama si lolote wala chochote katika Tanzania yetu, na wakati wengine mnapanda daladala, tax, bodaboda zinazomilikiwa na sisi darasa la saba na hata wengine mnaishi katika nyumba zetu tuliojenga sisi darasa la saba kwa umbumbumbu wetu huu huu. Somo KUFELI ELIMU SIYO KUFELI MAISHA.
penye rizki bhana hapkosi fitna.
"muwacheni mbwiga upumuwe".cv yake ya nini?mmesikia anataka kugombea ubunge?!.