Mwenye CV ya Mbwiga

Mwenye CV ya Mbwiga

Rich Pol

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2013
Posts
7,877
Reaction score
5,694
Habari wana JF, hii asubuhi Mbwiga ameshindwa ku peruzi magazeti Clouds fm, sidhani hata kama darasa la saba alimaliza, mwenye CV yake atujuze tafadhari.
Nawakilisha.
 
Ni kama ya Mulugo! Yule naibu waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi aka mtaalamu wa muungano, bahati mbaya tulisahau kumpa nishani ya Muungano mwaka jana!
 
Habari wana JF, hii asubuhi Mbwiga ameshindwa ku peruzi magazeti Clouds fm, sidhani hata kama darasa la saba alimaliza, mwenye CV yake atujuze tafadhari.
Nawakilisha.

Mimi tangu walipo mwingiza Mbwiga ktk vipindi vyao nawadharau sana kwani hakuna anacho ongea chenye mantiki.
 
ni mdharamu wa mwanalumango, class seven, kada wa chama chakavu na mwanachama nguli wa yanga sport club, alikuwa mc wa vigodolo magomeni, kigogo na mwanayamala bas na sasa ni mtangazaji wa blouz fm.. Ndio cv yake hiyo.
 
Mbwiga kasoma hadi form 4 iliyokuwa Forodhani secondary school 1989-1992,tulisoma nae shule 1 sema mie nilimtangulia vidato viwili
 
ni mdharamu wa mwanalumango, class seven, kada wa chama chakavu na mwanachama nguli wa yanga sport club, alikuwa mc wa vigodolo magomeni, kigogo na mwanayamala bas na sasa ni mtangazaji wa blouz fm.. Ndio cv yake hiyo.

Du hiyo kali! Kwa radio serious huwezi kumrushamtu on air kwa mtu siyo professional kama huyu, watu wako ktk foleni kwenda kazini wanakata kusikia news na michezo halafu mtu hata kusoma hajui, bora usingeweka hicho kipindi.
 
Mbwiga si mtangazaji clauds bali ni mshehereshaji wa baadhi ya vipindi.
Kwa ufupi tu Mbwiga ni mtoto wa mjini nawewe kama ni wakuja Dar Mbwiga humuwezi.

Mtoto wa mjini ni yule aliekuja na akapiga HeLa na kuishi vizuri, kama ni Mtoto wa mjini kwanini hakuwahi jengo moja ktk haya ya mjini baada ya wakoloni kuondoka mpaka yakachukuliwa na msajiri, Mtoto wa mjini unaishi kwa bahati??!

Body without head
 
Mbwiga, Mbwiga, Mbwiga unatisha kama radi, elimu yako haijulikani lakini unafanya kazi ktk redio ya mjini. Humu JF, kuna mijitu ina masters inamlilia Kikwete aipe ajira. Na nadhani wengine wanakuomba nauli.
Clouds FM kazeni buti. Naunga mkono falsafa yenu ya kutaka matokeo sio vyeti. Mbwiga wa wa waa
 
sisi binadamu mkuu tupo kimakundi , kuna wanaompinga kwa sababu zao na wanao mkubali vile vile , mbona mr. bean ana tukuzwa uingereza kuna lipi anaelimisha jamii ,zaidi ya kucheka tu. the same to mbwiga habari anaiwekea manjonjo hata wasioenda shule wanapata picha ya kuelewa habari hizo kwa kufurahi na kwa kufuatilia kwangu hakuna mtu watu wanataka kumsikia kama mwiga na ndiyo maana wakamuweka katika kipindi cha power breakfast, mwanzo alikuwa hayupo
 
Clouds FM ndio Kampuni/Taasisi pekee Tanzania ambayo wanaajiri na kuwaweka ofisini wazaramo
 
Back
Top Bottom