Mwenye CV ya Chief Prophet Nicolaus Suguye naomba aiweke hapa

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
May 3, 2020
2,416
3,911
Wakuu habari za asubuhi,

Leo nikiwa nacheck kideo home Kuna Channel ya WRM tv nikaona ngoja nione huwa kuna vipindi gani humo, ndo nikamuona huyo sijui Mchungaji au sijui Nabii ama Mtumishi.

Basi alikuwa anatoa maombi yani anaomba anasema kama unataka kuwa bilionea Basi nyoosha mikono juu ukiwa na ufunguo, huku ukiwa unaomba.

Basi pale nikawa nacheck watu wanaanguka wengi walikuwa wanawake na kanisa kwa ujumla Wanawake walikuwa Wengi sana, ni kuanguka tu mara wanataka kutapika wanashindwa imladi ni vululu vululu, naomba mwenye CV yake aiweke hapa.
 
Binafsi namfahamu vizuri tu, ila maombi na CV ya mtu vina uhusiano gani? Maana kumtumikia Mungu kunamuhitaji Mungu mwenyewe, na sio PhD.
 
Binafsi namfahamu vizuri tu, ila maombi na CV ya mtu vina uhusiano gani? Maana kumtumikia Mungu kunamuhitaji Mungu mwenyewe, na sio PhD.
Mfano amepita wapi na.wapi mpaka.akafikia.hapo
 
Anawaombea watu kua mabilionea ! kazi kweli kweli wajinga ndio waliwao
 
Nimechungulia siku nyingi na mimi nimjue huyu mchunga kondoo wa Bwana
 
Back
Top Bottom