Mwenye Carina GT nahitaji tafadhali

Mwenye Carina GT nahitaji tafadhali

Lukansola

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2010
Posts
5,435
Reaction score
1,611
Habari wadau, kama heading inavyosema, nahitaji carina GT, mwenye hint tafadhali, nimeweka picha ya mfano.
Asanteni

Gt from net.jpg
 
carina ti huhitaji mkuu?ipo iko vizuri sana.

Asante sana vunjajungu, kabla ha kuona gt nilikuwa nalenga ti, lakini baada ya kuona gt nikabadili mawazo subiri kwanza niangalie upepo unaendaje mkuu, Thanks alot
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom