Mwana Ilala
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 1,286
- 488
Katika pita pita yangu kwenye mitandao. Nmeona kuwa ukiwa USA water za ipata Unlocked IPhone 6 Plus kwa $550.
Cha kushangaza, nlipopita baadhi ya Maeneo hapa Bongo nmezikuta zikiuzwa kwa Bei ya $1120 yenye 16GB.
Mwenye Kujua sehemu ambayo iko cheap atuwekee hapa pamoja na Bei yake tafadhali.
Asante.