K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 9,281 Reaction score 13,938 Jan 23, 2026 #1 Kuna ndugu zake wanamtafuta kama unajua anapoishi tuma pin au anwani yake
DCI Comrade One JF-Expert Member Joined Oct 14, 2012 Posts 781 Reaction score 1,035 Jan 23, 2026 #2 Mh 🤣 🤣 🤣 🤣
Mikopo Consultant JF-Expert Member Joined Oct 28, 2024 Posts 2,235 Reaction score 4,382 Jan 23, 2026 #3 Kwanini ni prestige sana mtu kuwa jaji? Benefits zao zipoje?
M Matrix19 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2020 Posts 12,415 Reaction score 22,458 Jan 24, 2026 #4 Leo mahakama kuu ya Kenya imetengua ofisi ya "presidential advisors" ambao Ruto aliwateua watu 21 , ikisema teuzi hizo zilikua kinyume na katiba. View: https://x.com/i/status/2014259019343708532 Mahakama za Tanzania ,majaji ni vidampa wa CCM . Nafasi za kuteuliwa zote inabidi umsifie rais na uwe chawa . Huyu Hamidu Mwanga alishahudumu tume ya uchafuzi Zanzibar akishirikiana na jizi lingine lililokua linaitwa Jecha kupindua matokeo ya Maalim Seif 2015.
Leo mahakama kuu ya Kenya imetengua ofisi ya "presidential advisors" ambao Ruto aliwateua watu 21 , ikisema teuzi hizo zilikua kinyume na katiba. View: https://x.com/i/status/2014259019343708532 Mahakama za Tanzania ,majaji ni vidampa wa CCM . Nafasi za kuteuliwa zote inabidi umsifie rais na uwe chawa . Huyu Hamidu Mwanga alishahudumu tume ya uchafuzi Zanzibar akishirikiana na jizi lingine lililokua linaitwa Jecha kupindua matokeo ya Maalim Seif 2015.
T The lariat JF-Expert Member Joined May 16, 2025 Posts 1,353 Reaction score 1,915 Jan 24, 2026 #5 Mikopo Consultant said: Kwanini ni prestige sana mtu kuwa jaji? Benefits zao zipoje? Click to expand... Benefit zao ni zaidi ya zile za mkuu wa mkoa.
Mikopo Consultant said: Kwanini ni prestige sana mtu kuwa jaji? Benefits zao zipoje? Click to expand... Benefit zao ni zaidi ya zile za mkuu wa mkoa.
M Makebo JF-Expert Member Joined Nov 29, 2025 Posts 2,175 Reaction score 2,887 Jan 24, 2026 #6 Kobazi mwenzetu huyo anaenda kuwasweka lupango wagalatia wa kutosha loose Nut
CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 18,287 Reaction score 34,488 Jan 24, 2026 #7 Zinahitajika pia taarifa za watoto wake, wanasoma wapi ili vijana wenzao wa Gen Z wakawatembelee awamu ijayo kudumisha mahusiano .
Zinahitajika pia taarifa za watoto wake, wanasoma wapi ili vijana wenzao wa Gen Z wakawatembelee awamu ijayo kudumisha mahusiano .
Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 24,876 Reaction score 27,002 Jan 24, 2026 #8 Kamundu said: View attachment 3533489 Kuna ndugu zake wanamtafuta kama unajua anapoishi tuma pin au anwani yake Click to expand... Nenda kwa mwajiri wake wa mara ya mwisho amayo ni tume ya uchafuzi utapata unachotafuta.
Kamundu said: View attachment 3533489 Kuna ndugu zake wanamtafuta kama unajua anapoishi tuma pin au anwani yake Click to expand... Nenda kwa mwajiri wake wa mara ya mwisho amayo ni tume ya uchafuzi utapata unachotafuta.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,828 Reaction score 185,236 Jan 26, 2026 #9 Ngoja waje... Cc: Mahondaw