Mwenge University College of Education

Mwenge University College of Education

Karbun mwenge kama unataka chumba ama mahal pakufkia pga 0766354537 am prod.chaz$
 
uko wapi mkuu? maana admission zilishatumwa na kuna wengi ambao wamezipata, if pocble pitia web ya chuo ucheki, au rahaaa nipm namba yako ili nikuforwadie amount zinazohitajika kwenye watsup

na mm nsave brother cna cha admstn form,cjui hata gharama 0769782053
 
"Lux Mundi"Karibuni sana Mwenge a.k.a Rumi.Hapa ni raha tu book kwa kwenda mbele mpaka uombe poo!hapa hakuna figisu figisu.Boom likichelewa huku wenzenu wa UDSM wakiwaza kugoma huku Rumi wanatoa zao zikija za board wanafidia ushindwe kusoma mwenyewe.
 
Kwa wale wanaohitaji nyumba au vyumba nitafute kwa no 0754407588
 
Nyumba iko mwenge 0.5 km inapangishwa inafaa kwa wanafunzi au lecture ...ukihitaji nyumba yote au vyumba nipim 0754407588
 

Attachments

  • 1444620656563.jpg
    1444620656563.jpg
    65.7 KB · Views: 75
Inapangishwa iko mwenge university
 

Attachments

  • 1444620831114.jpg
    1444620831114.jpg
    48.9 KB · Views: 70
Karibu mwenge kama utahitaji chumba mtaani wasiliana na mimi 0754407588
 
Back
Top Bottom