Mwenge University College of Education

Mwenge University College of Education

mi nshapata join nenda posta adress uloandika tcu utaikuta
poa poa, vp kuhusu ada ya mwanzo ya kuanzia? na unajuaje kiasi cha mkopo unacholipiwa na bodi ukizingatia muda umekwisha wa kuripot ambayo ni tarehe 27. Bachelor of science.
 
yakuanzia wote 380,000 then ada kwa b science ni 1280,000 board hawajatoa ila nyie mwapata ndugu ujiandae na hela yakula boad wanakaa hata mwezi baada yakuripot mi nko jiran na chuo nlikuwa nawaona wanavyo suffer sasa zamu yangu karibu moshi
 
Cha muhimu jitahidini mje na hiyo ya registration kwanza then ada mtajua huku after heslb wakitoa majina,
ila na cha kuongezea jitahidi pia uje na hela ya kupangisha chumba iwe ndani au nje, hostel ndani nafasi sio za kutosha sna, jitahidi uwahi. Ila nje ziko za kutosha bt ukiwahi utapata za karibu kabisa na chuo, Serekali ya wanafunzi tunawawekea mipango ya kuwakaribisha kuanzia leo na kuendelea ingawa rasmi mnatakiwa kureport kesho
 
Daah itakua poa sana kama mnawajari wageni kiivo. Mdogo angu nimempa laki 4 tu, kwa sasa anasubiri admission letter coz haijafika. Ila jpili atakua safarini kuja moshi.
 
Kama hana ela nyngne aisee hyo ulompa ni kidogo sana kwan inabidi alipe laki tatu na 80 ndo asajiliwe na hapo bado kupata chumba ambapo inabidi alipe miez mitatu au sita kuanzia 35 kwa mwez na bado kununua godoro na kama atapenda kuishi hostel itabid alipe laki mbili na nusu ndo apewe chumba
 
Kwa hiyo bora akae nje au hostel za ndani?
 
hostel ndani ni chache sana, so inabidi ajiandae vyote vyote anaweza akapata o hasipate, ila cha kunshauri anaweza akaja na kumcheki mwenzie ambaye anaweza apeana kampani ya kukaa pamoja ili kupunguza gharama, mf kama chumba ni 40 or 50 watagawana 20, 20 per miezi mitatu 60 o sita 120, then inayobaki wananunua vitu vidogo vidogo
 
Daah itakua poa sana kama mnawajari wageni kiivo. Mdogo angu nimempa laki 4 tu, kwa sasa anasubiri admission letter coz haijafika. Ila jpili atakua safarini kuja moshi.

Ndio jukumu letu mkuu, na hawa ni ndugu zetu, so ukalimu inabidi tuwape, mwambie anakaribishwa sana
 
mm natoka zanzibar.. na kiukweli nategemea kufika huko jumatano,,, vp itakua sijachelewa sana mkuu apo?
 
Nadhani utamiss orientation course tu maana j3 aftre ya kesho ndio mnaanza kitabu
 
Jamani me naombeni msaada admission letter unaipataje

uko wapi mkuu? maana admission zilishatumwa na kuna wengi ambao wamezipata, if pocble pitia web ya chuo ucheki, au rahaaa nipm namba yako ili nikuforwadie amount zinazohitajika kwenye watsup
 
Back
Top Bottom