Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,907
- 1,081
:A S 109::A S thumbs_down:Hivi kumbe mwenge bado unakimbizwa Tanzania??!!!!
Sasa hii nyumba ni mradi wa serikali au? Nilishasahau kwamba mwenge upo bado. Na mbona hatupewi taarifa za maendeleo ya hii miradi inayozinduliwa kila mara? Nahisi mingi hufa!
Si kiherehere kilichompeleka pale Lwakatare, bali ni kwamba jengo lililokuwa likizinduliwa liko jirani kabisa na ofisi za Chadema. Nadhani walimtafuta aokoe jahazi maana nasikia mkuu wa wilaya hakuwa anapokea respond ya wananchi kila aliposema "Mwenge oyeeee". Bila shaka walimfuata ofisini kwake kwa sababu ni next house, kuokoa jahazi maana aliposema " Chadema", ghafla hali ilibadilika.Wamekosa miradi ya serikali ndio maana wameanza kukimbilia mambo ya watu binafsi!!! Si pale Bukoba Mh. Kagasheki anajinadi kuanzisha miradi ya maendeleo ya jimbo. Kwa nini mwenge usiende huko na kubust kampeni zake. Hivi CHADEMA wanaunga Mkono Mwenge? Ni kiherehere gani kimempeleka Rwakasimba Pale?
Kenge hii ndio hali ya kukwama. Kagasheki huyo hajafanya lolote sasa anadandia nyumba walizojenga watu binafsi na kuzifanya ni miradi ya kuibuliwa na mwenge.Wamekosa miradi ya serikali ndio maana wameanza kukimbilia mambo ya watu binafsi!!! Si pale Bukoba Mh. Kagasheki anajinadi kuanzisha miradi ya maendeleo ya jimbo. Kwa nini mwenge usiende huko na kubust kampeni zake. Hivi CHADEMA wanaunga Mkono Mwenge? Ni kiherehere gani kimempeleka Rwakasimba Pale?
I wish ningekuwa hapo na nikaweza kuukojolea ukazimika
Kenge hii ndio hali ya kukwama. Kagasheki huyo hajafanya lolote sasa anadandia nyumba walizojenga watu binafsi na kuzifanya ni miradi ya kuibuliwa na mwenge.
Kama kuna ujinga umetutawala watanzania ndio huu. Yaani pesa na resources zinazotumika kwenye this rubbish ni nyingi sana na zingeweza kuleta maendeleo yenyewe. Lakini badala yake pesa hizo kutumika kuleta maendeleo sasa zinatumika kuzungusha huu moto nchi nzima. Wameanza kufika mahali ambapo wamejikuta hakuna hiyo miradi na kwa hiyo wakikukuta umejenga nyumba yako wanazindua hahahahahahaha Mie nchi hii imenichosha sana! Naona hata kwenye picha watu wanaonyesha kushangaa nini serikali ya Kikwete inafanya sasa. Ebu waangalie tu utaona!
:hand::A S wink::couch2:Nani anakimbiza Mwenge Mwakani? Nataka Aje Azindue Nyumba yangu ha ha haaa
Ukiona hivi ujue mmiliki ana sababu!!!!!!!!!!!!! Fuatilia kwa chini utajua. Kwani nini hamkushangaa gari la wizi Mwanza kukutwa na stickers za Masha?Jengo hilo lina uhusiano gani na mbio za Mwenge? Je, ni la CCM maana utepe unaokatwa una rangi za CCM? Je Mwenge ni wa CCM ama wa Taifa?