si umesema mji lazima ujengwe kwa kuzingatia mipango, na wao wawe wamepata vibali kutoka kwa mamlaka husika..,hao watoa vibali na mamlaka husika au wanaohusika na mipango miji ni nani kama sio SERIKALI?....USIWE KICHWA MAJI yani kama tz tuna mijitu mingi isiyofikiria kama wewe itachukua mda mrefu sana hadi kuendelea
Hawa hata wakijengewa jengo hawahamii, solution ni kuwatimua tu warudi mikoani. Huwezi ukaharibu utaratibu wa jiji halafu watu wakawa wanaona tu. Big up City Authorities, go ahead, go!... na lengo la serekali ni kuongeza ajira nchni,chukuen ushauri wangu huu hapa,nnsf wapewe eneo hilo wajenge kituo na majengo meng ya biashara ya kisasa,ili mkusanye kodi nyie wenyewe baada ya huyo babu kesi,ilo linawezekana,lengo letu n kupiga hatua kimaendeleo
Kosa moja halihalalishi kufanyika kwa kosa jingine. Kama mamlaka za Jiji zilizembea kuzuia ujenzi holela, hilo ni kosa, lakini haina maana kwamba mtu mwingine ana ruhusa ya kufanya kosa la kujenga bila utaratibu!
Posta Mpya na Kariakoo nako nimeona kuna safisha safisha imefanywa...
Pembeni ya Soko Kuu la Kariakoo mbele ya duka la Tahfif kulikuwa na soko mshenzi, naona limevunjwa na pale mahali ni safi hata kabumbu unaweza lisakata...
Leo ukifika MWENGE lazima ushangae kwani ni kweupeee hakuna msongamano wa watu wala daladala stendi ni nyeupe mpaka raha.
hakuna kukanyagana tena wala kupigana vikumbo.
Leo asubuhi na mapema polisi FFU na baadhi ya mgambo wameendesha operation ya bomoa bomoa meza na mabanda yote ya wamachinga yaliyopo ndani nje nayaliyo karibu na MWENGE STENDI.
kiukweli wamefanya KAZI nzuri sana hasa ni baada yakuzifuata mpaka meza zilizokuwepo zimehifadhiwa.
sababu wangeziacha jioni wanazibeba na kujakufungua biashara na kuwapa pesa watu wanaojiona kama MWENGE STENDI ni yakwao Mali yao wakiongozwa na babu kesi.
haina jinsi wakulaum mtalaum ila inabidi tukubali tu kuwa kitu kisipokuwa mahari pake ni uchafu.
kuna watu wanalipa mamilioni ya kodi ila hawa wangine kodi yao wanalipa kwa KESI yeye ndio tra WA mwenge
Nipi week mtaona hali itarudi kama kawaida kinachofanyika pale hao wanoweka mabanda pale wanalipa kiasi fluni kwa qale waaimamizi kila siku iki wendelee na biashara yao pale.
Hawa hata wakijengewa jengo hawahamii, solution ni kuwatimua tu warudi mikoani. Huwezi ukaharibu utaratibu wa jiji halafu watu wakawa wanaona tu. Big up City Authorities, go ahead, go!
Nami nampongeza sana zembwela. Pia napongeza uamuzi wa kuzuia bodaboda na bajaj katikati ya jijj. Lazima tuwe na utaratibu ili nasi tuonekane wastaarabu. [color =red ]Jiji gani kila mahali kunanuka?[/color] Jiji gani milokoteni inaingia hadi katikati ya jiji? Inawezekana kabisa kuwa na miji na majiji yaliyopangiliwa.
Atakuwa anakuja David Cameruni hivi karibuni rais alienda kumkaribisha Juzi kati
namkubali sana kaka yangu zembwela ila kwa hili yupo wrong na hao waliovunja..,.mnajua madhara yake, ngojeni roba za mbao, kuibiwa visim vyenu
Mkuu unaamini kwa kufungia bodaboda kuingia katikati ya jiji kutapunguza harufu mbaya.?