tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,672
- 19,187
Hiyo mikesha ya mwenge condom nyingi huonekana alfajiri zimetupwa,yani wanakesha kubinjuana tu na kupeana upungufu wa kinga,mafisiem akili zko ziko kiunoni
Mkuu Joka Kuu nimejaribu kuchangia ikanigomea hivyo nimekuleta huku..Sidhani kama ni busara kutumia fedha, mali, na muda wetu, kukimbiza mwenge.
..Shuhudieni ktk " clip " hapo chini mambo yasiyo na manufaa yoyote yanayofanyika wakati wa mbio za mwenge.
..hivi kweli watoto wetu wanastahili kukatishwa masomo kwenda kupokea mwenge?
Kwani mwenge ndio unatoa hela za miradi??????Mwenye akili angekuja na Idadi na thamani ya miradi iliyofunguliwa na Mwenge toka tupate uhuru VS Gharama zilizotumiwa na Mwenge.
Hii ndio njia ya kisayansi ya kuujadili mwenge !!
Mwenge in maagano na makafara angalia mambo haya umiImika watahakikisha hakuna atakayeona wanawasha,wanaokimbiza wanakula kiapo na akibadilishwa MTU lazima atoke juuHuwa nafurahia tu siku ya mwenge watu wanafanya ng'ono zembe harafu mwaka unao fata wanapima vvu kuangalia viwango vya maambukizi ya ukimwi
HatariiSikuwahi kabla kushuhudia mwenge wa Uhuru hasa mkesha, mwaka huu nikasema nijisogeze nione kuna nini.
Tangu Siku ile najikuta nimeanza kuwa MTU wa hovyo hovyo tu.
Uelimishwe vipi zaidi Pascal na unajua mchawi wetu ni Forojo Ganze (master).Au unaelimisha wengine?Wanabodi,
Hili ni swali tuu najiuliza kuhusu hizi mbio za Mwenge wa Uhuru zinazoendelea sasa. Kwenye Mwenge kinachokimbizwa nchi nzima, jee kweli ni ule mwanga tuu ili kumulikia na kuangazia, au ni ule moshi mzito mweusi kana kwamba kuna dawa fulani za uvumba zinazonyunyuziwa kama ubani, kisha zinatumika na Mwenge kuwafukiza Watanzania ili kuendelea kuwapumbaza ili waendelee....(naomba nisimalizie).
Rais Magufuli alipoingia tuu madarakani na kufuta maadhimisho ya sherehe muhimu kama ya Uhuru kwa hoja kuwa hazi justify the cost for spending so much kwenye sherehe tuu huku hospitali zetu zikikosa madawa na wagonjwa wanalala chini kwa ukosefu wa fedha. Moja kwa moja nilidhania kuwa sasa huu ndio utakuwa mwisho wa kuzungusha kwa Mwenge wa Uhuru. Lakini hali haikuwa hivyo.
Ingekuwa ni Amri Yake, Magufuli Angefutilia Mbali Mbio za Mwenge!, Jee Ni Amri ya Nani?!.
Hivyo hili ni swali kwa wenye ufahamu wa ndani kuhusu huu Mwenge, tuelezane ukweli jamani. Kinachozungushwa ni Mwenge lakini the essence ni ule mwanga tuu wa kumulikia au ni ule moshi unaofukizwa kama vile umetiwa mavumba fulani kuwapumbaza Watanzania?!.
.
Kama Tanzania tunataka maendeleo ya kweli ni lazima tuwe very serious kwa kuachana na kuendekeza matukio stereotype na kumaitains positions ambazo ni redundancies just to maintain a status quo, kwa vile zilikuwepo! .
When are we gonna change? . Yaani kwa Magufuli huyu aliyefuta sherehe za Uhuru lakini ana maintain mbio za Mwenge, huu Mwenge una nini haswa? . Tuelimishane jamani!.
Jumatano njema.
Paskali
update.
Forojo Ganze (Master), mchawi maarufu aliyeanzisha Mwenge wa Uhuru
Mm mwalimu tupo tupo kivp? Fafanua!!Walimu ndio maana wakowako tu
Swissme
Kufikiria eti ni kile kibatari kinafungua miradi ni undondocha kabisa. Mbona mawe ya msingi hayawekwi na mwenge? Na ule umalaya unaofanyika kwenye mikesha ya hicho kibatari ni sehemu ya Ibada ya huo ushetani?Mwenye akili angekuja na Idadi na thamani ya miradi iliyofunguliwa na Mwenge toka tupate uhuru VS Gharama zilizotumiwa na Mwenge.
Hii ndio njia ya kisayansi ya kuujadili mwenge !!