Askofu Bagonza atoa neno zito, ni baada ya kualikwa kwenye mbio za Mwenge wa Uhuru

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,741
218,332
Akizungumza huko Karagwe kwenye Kongamano la Mwenge wa Uhuru, Askofu huyo amesema kwamba lengo la kuanzishwa kwa Mbio za Mwenge wa Uhuru lilikuwa ni kumulika watu wabaya, wezi wa mali za Umma, walanguzi na wala siyo kuwamulikiw njia ili waibe vizuri.
---





Ujumbe wake umebeba mambo muhimu sana hasa kipindi hiki.
 
Hakika, amemaanisha haya tunayopitia kwa sasa, adui yetu hayupo nje, yupo ndani, ametuzibia masikio baada ya kutusaliti.
 
Back
Top Bottom