nkuwi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 4,801
- 5,344
Mh. Rais ulishasema unabana matumizi kwa serikali yako,
Vipi tena hili tukio la kuwasha mwenge hapa morogoro hajaona kama kuna pesa ya kuokolewa humu ili ipelekwe hata huko kyela ikasaidie wahanga wa mafuriko??
Uliokoa hela za sherehe za uhuru
Ukaokoa tena fedha za sherehe za muungano,
Vp hizi za mwenge hujaziona??
Futuhi ya akina braza K inaendelea!