hilo jina la mwizi limemponza acha afeCoz amefanya mambo mawili kwa wakati mmoja majina yote yanamfaa
ndo nini sasa ??Hapo ndipo nguvu za wanaume wa dar zilipo tu. Kupiga mwizi wakiwa kikundi. Kwetu mwizi anakimbizwa na mtu mmoja na anachezea kichpo cha mtu mmoja hadi anakua uji uji
Wa Africa sisi niwakatili,..... kwanini umpige mtu hadi kifo kwa "petty thefty" hao watoto wako pale kwasababu ya sera za nchi mbovu na Wazazi wasio jielewa hawako pale kwa kuchangua duh. Hicho kifa ni cha shilling ngapi hata kingekua million ndo uue mtu kwa hivyo vigari vyenu vya "baby walker " wapi na wapi ist, spacio, Mazda, Raum, na nasfi ya mtu...duh astonishing AfricansApigwe tu
Wa Africa sisi niwakatili,..... kwanini umpige mtu hadi kifo kwa "petty thefty" hao watoto wako pale kwasababu ya sera za nchi mbovu na Wazazi wasio jielewa hawako pale kwa kuchangua duh. Hicho kifa ni cha shilling ngapi hata kingekua million ndo uue mtu kwa hivyo vigari vyenu vya "baby walker " wapi na wapi ist, spacio, Mazda, Raum, na nasfi ya mtu...duh astonishing Africans