Mwenge, Dar: Mtoto wa mtaani (Chokoraa) apigwa hadi kufa

Aisee, huo ux*nge wenu nyinyi waisl@@&#&$* ni ukatili zaidickwani mtu atateseka maisha yake yote na kuwa mzigo mkubwa kwa jamii, mimi ni bora nife kuliko kukatwa mikono aisee..,huo ni ush*nxi na wewe ni msh*nxi pia
Naomba unitake radhi kijana,najua niliandika iyo coment kutokana na mawazo yangu,sasa iweje unitukane,tafadhali naomba uniombe radhi
 
Mbona kama hoja zako zimejikita kwenye wivu kwa mwenye gari? Umeambiwa mwenye gari ndiye aliyeshuka na kumpiga na kumuua mtoto? Hakuna kinachohalalisha wizi, wala hakuna kinachohalalisha mauaji. Kifo cha huyo mtoto kiwe tu kengele ya kuwaamsha viongozi watafute dawa. Hao watoto pamoja na kutia sana huruma ni tishio sana kwa madereva. Ukiwanyima hela utaambulia matusi au kuharibiwa gari au kumwagiwa maji. Wachache ni waelewa. Ukikaa kwenye foleni dakika 10 wanaweza kuja watano kila mmoja kwa wakati wake anasafisha uongo na kweli na anataka hela. Utagawia wangapi? Ukimkaushia ndo hivyo anakudhuru wewe au gari yako. Ingawa sikuwepo eneo la tukio, wauaji wa huyo mtoto ni chokambaya wengine tu ambao hawana hata undugu na mwenye gari. Nilishuhudia juzi tu pale Sayansi madereva wa bodaboda wameingilia ugomvi ambao si wao wakamshambulia vibaya sana mtu. Wengine wakatoka ng'ambo ya barabara wakaenda kupiga bila hata kujua kwa nini mtu anapigwa.
umenielewa vibaya sina wivu kabisa na mwenye gari ila ni kawaida hata mwizi akiuwawa nyumbani kwako na wewe hukumpiga haikuondoi katika kosa la wewe kuhusika na mauti ya mtu huyo.
 
Acha unafiki.
mkuu mimi pia nishaibiwa mara nne ,lakini hawajanidhuru ni vitu wanachukua tu sio inshu sana...nashangaa umepanic mpk unatukana kaka!
Shukuru hao vibaka wanaiba wiper na kusepa, Jbh-SA unapigwa na shaba kabisa mchana kweupe,hali kadhalika Madagascar! uliza uaimbiwe
 
Naomba unitake radhi kijana,najua niliandika iyo coment kutokana na mawazo yangu,sasa iweje unitukane,tafadhali naomba uniombe radhi
Achanae nae mkuu Huyo mwixi anawatetea wenzake km hataki kukatwa mikono au kiungo kwann aibe huku uswahilini tunawatoaga marinda kabisa
 
Hiyo imekuwa fundisho tosha kwa hao wengine wa hapo mataa. Wanatabia ya kuchomoa vitu kwenye magari au kukwangua gari kwakutumia kisoda au chuma usipowapa pesa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom