Mwendokasi: Usafishaji barabara Tegeta Nyuki - Maktaba Posta Waanza

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
86,143
146,495
Habari njema kwa Watu wote

Mkandarasi wa barabara ya Mwendokasi Tegeta Nyuki - Maktaba Posta ameanza kuweka Kingo za kuzuia nafasi ya Katikati mwa barabara ikiwa ni maandalizi ya mwanzo kabisa ya ujenzi

Shughuli hii imeanza Lugalo na Mwenge

Baadae Mlale Unono 😀😀
 
Back
Top Bottom