umesaahauuu weziwamifukoniii tenaaa mabintiii kabisaaa wazuriii usiniulize zaidiLeo nilipanda mwendo kasi pale Avalone mchana ya saa saba nikiwa na mpango nishuke fire and then nielekee kariakoo.. Matokeo yake kila likija bus limejaa balaa nikaona isiwe taabu nipande la kwenda kivukoni nigeuze nalo mziki ukawa dereva kafika ferry and kalipaki pembeni akashuka hapo tukabakia tumeduwaa muda ukazidi ikabidi tushuke wenyewe mlango Wa dereva mbele kushoto... Tukaingia bus lingine likaganda hapo kama hadi lika jaa jaa dereva akaingia sikustuka kama nalo dereva alishuka dah... Likaondoka nikafika jangwani nikashuka maana pale fire kulikuwa na nyomi... Nikapanda la gerezani limejaa hatari hewa ni shida kupumua pale fire napo likapakia for sure lilijaza kupiga Maelezo nilifika msimbazi sina hamu tena na mwendo kasi town to kariakoo nilitumia daki ka 45!!!!
Ahahaaa pole sana. Apo kny kugombaniana unafika home una makovu kila mahali.Yaani juzi nilipanda mwendo kasi asee yale ni mateso sasa. Kwanza tuligombania kuingia kama dala dala tuu, halafu watu wana jaa sana.
Halafu inaonekana wana yazungusha mabasi machache may be wana taka ku save mafuta.
Ila nadhani badala ya kupunguza adha ya usafiri wameiongeza
Ahsante pole naweAhahaaa pole sana. Apo kny kugombaniana unafika home una makovu kila mahali.
Kuna siku nlipanda k/koo to ubungo nilijuta. Sipandi tena hayo madude
Yaani ukitaka kuchelewa siku hizi panda mwendokasi!Leo nilipanda mwendo kasi pale Avalone mchana ya saa saba nikiwa na mpango nishuke fire and then nielekee kariakoo.. Matokeo yake kila likija bus limejaa balaa nikaona isiwe taabu nipande la kwenda kivukoni nigeuze nalo mziki ukawa dereva kafika ferry and kalipaki pembeni akashuka hapo tukabakia tumeduwaa muda ukazidi ikabidi tushuke wenyewe mlango Wa dereva mbele kushoto... Tukaingia bus lingine likaganda hapo kama hadi lika jaa jaa dereva akaingia sikustuka kama nalo dereva alishuka dah... Likaondoka nikafika jangwani nikashuka maana pale fire kulikuwa na nyomi... Nikapanda la gerezani limejaa hatari hewa ni shida kupumua pale fire napo likapakia for sure lilijaza kupiga Maelezo nilifika msimbazi sina hamu tena na mwendo kasi town to kariakoo nilitumia daki ka 45!!!!
Kwa hali hii Bodaboda inabaki kuwa usafiri Wa haraka kabisa hapa mjini japo si salama sana!Leo nilipanda mwendo kasi pale Avalone mchana ya saa saba nikiwa na mpango nishuke fire and then nielekee kariakoo.. Matokeo yake kila likija bus limejaa balaa nikaona isiwe taabu nipande la kwenda kivukoni nigeuze nalo mziki ukawa dereva kafika ferry and kalipaki pembeni akashuka hapo tukabakia tumeduwaa muda ukazidi ikabidi tushuke wenyewe mlango Wa dereva mbele kushoto... Tukaingia bus lingine likaganda hapo kama hadi lika jaa jaa dereva akaingia sikustuka kama nalo dereva alishuka dah... Likaondoka nikafika jangwani nikashuka maana pale fire kulikuwa na nyomi... Nikapanda la gerezani limejaa hatari hewa ni shida kupumua pale fire napo likapakia for sure lilijaza kupiga Maelezo nilifika msimbazi sina hamu tena na mwendo kasi town to kariakoo nilitumia daki ka 45!!!!
Chanzo cha Matatizo yote ni Sumatra kulazimisha nauli ya 650 kiasi kwamba hata ku break even imekuwa Shida
Nilshuhudia mtu akikanyagwa mlangoni baada ya kujikwaa alipokwa akigombea kuingia. Nadhani alipata makovu na maumivu ya kutosha. Mwingine nasikia alivunjika mguu baada ya mguu wake ku miss kale ka ngazi ka kuingilia mlangoni.Makovu oi... Chumvi umezidisha na mboga imeungua... Hiki kilio kikifika kwa mzee Wa magogoni jibu lake halitatofautiana na lile la kivuko... Mpige mbizi....
Mbn kwa mwendokasi kawaida,yaani ukitaka kupanda jiandae kisaikolojia kbsJana nimekaa pale DIT saa nzima kuanzia saa mbili unusu jioni hadi Tatu unusu nasubiri usafiri hadi kero. Nilichukia sana saa nzima kukaa kituoni![emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Mmh wasingezuia daladala kwanzaMageuzi yanapokuja,huja na maumivu,kuwa mstahamilivu,zinakuja basi zingine 200
Huduma serikali inabidi ichangie lakini wao wamepunguza nauli badala ya kuchangia.Tatizo la huu usafiri wa Mwendokasi ni biashara badala ya Huduma ya Umma kama nchi za wenzetu.