Wapigwe tuu
Senior Member
- Jan 31, 2015
- 173
- 224
Ulichoka kubambiwa?Mimi ndo maana hata niliacha kuzipanda.
Mie naona wapewe.Wapewe hao hao
Tuwauzie warabuMie naona wapewe.
Yaani mabasi yameokoteza madereva wa daladala, matoekeo yake Sasa hivi yanaendeshwa kama madaladala ya Mabibo, madereva si wenye weledi, wanasimamia hawana hata idea na wanachokifanya.. ni ujinga wa kufa na mtu.
Acha undezi, watu milioni 6 waliopo Dar wote wanunue magari inawezekana??Nunua gari tu mkuu
Tunaomba serikali iruhusu mabasi kwenye DART Mwendokasi ili kunusuru hali hii. Kituoni 2hrs na basi zimejaza balaaa ni hatari. Tunabanana sana
Ombi langu waziri wa tamisemi na naibu wake na katibu mkuu waje wapande Atleast once jioni au asubuhi. Cause wanapita kwenye V8 za 500Million kwenye barabara hizi so hawawezi kujua tunayopitia kwakweli. Shame
Abiria wanaotokea Mbezi ndio wanaopata shida ya usafiri kwenda City Center.Leo hii asubuhi saa mbili kasoro morogoro road nimeshuhudia foleni ndefu sana vituoni.
Huu ujima upo Stand ndogo ya Mbezi mwisho.Wanataratibu za ujima hawa watu hadi wanaboa.
Wapewe tuu, ujinga wa UDART wanataka kufuata market trend, wakati wao wanapaswa kuwa pioneers wa huduma Bora, na ni shirika la serikali. Kwanza hawawezi kuanza tuu na kupata faida, wawe wavumilivu.Tuwauzie warabu
Mbagala ni mradi tofauti, inakuja na magari yakeNa hapo bado, ngoja Mbagala ifunguliwe