Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 7,658
- 3,746
Ndiyo naingia nyumbani kwangu mida hii.
Wife amenunua, nimemkuta ametoa begi lake la nguo anapiga pasi, anataka kurudi kwao anasema " Mashamba Makubwa Nalima umepata mke wewe, niache mimi nirudi nyumbani, nina kwetu!"
Ila mimi sikuwa sehemu yoyote zaidi ya pale Morocco nikisubiri bus tokea saa 12:00 jioni.
Mwendokasi mnatukosea.
Nashauri apewe Mchina.
Wapi wanauza maua? Wape naweza mpeleka shemu wenu kwa ajili ya dinner kesho? Kama unataarifa niPM