Mwendo wa Kujilazimisha si Safari ya Maono

Matajiri wengi wanadai wanafanya vitu wasivyovipenda - hii imekaaje mkuu?
 
Msingi wa binadamu mwenye kuhitaji kufanikiwa, kwanza lazima apende kile anachokifanya, pili usiruhusu kukimbia na watu wasioendana na mwendo wako. 🙏🙏🙏
Kwamba usiruhusu mtizamo wa wengine kuhusu wewe uwaje ndiyo ukuongoze?

Au....

Kwamba usishirikiane na watu wenye maono hafifu kuliko yako na umewazidi kwenye angle fulani?(wasioendana na mwendo wako).

Au....

Kwamba usishirikiane na waliokuzidi nguvu - matajiri may be? (wasioendana na mwendo wako).
 
Kabisa alf na kuepuka kutumiwa kwa faida yao
Mtu anaishia kutumiwa na kuhusu malengo yake
 
Wenye njia Tofauti
Mfano unakaa mtu ambaye hana future yeye ni kukurudisha nyuma kisa yeye yupo nyuma

Back
Top Bottom