Mwendeshaji na Mshiriki wa Zinduna Show Wikii hii


Ulijuajeeeee..........unaoteshwa nini ndugu???
 
Kumbe na wewe umeiona eeh ? Humu vitasa ni vya kumwaga!
Funguo kiduchu!
Si mturuhusu tumiliki vitasa japo viwiliviwili ?
Hahahaaaa Judgement mi naomba kwenye huo mgao Remmy nabaki nae asaidiane na Amyner wangu wa ukweli lol
 
Last edited by a moderator:
Wala si hatari........ni burudani tosha, tena ni afya.
Halafu anatakiwa kutuhoji watazamaji live toka kwenye uwanja wa Sita kwa Sita.
Dah hope jumamosi ntakuwa uwanjani na wewe wakati show inaendelea hewani
Duh ntapata mauzoefu ya kutosha toka kwa Erotica
 
Last edited by a moderator:
wameficha 'like'
hapana najua nitapata ile colestral au tui la juu.
Hahahaaaa Mamndenyi la juu ndio la ukweli eeeh?
Hivi mai waifu umemficha wapi au umemfanyaje hadi hataki kuja live huku?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
KakaKiiza usijari bana..wewe uta host kipindi...mie mualikwa..ila kiwe recorded...maana vinginevyo..na Preta asiwepo..panaweza kuhatarisha usalama wa Studio..au unasemaje. Erickb52
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…