Mwema kung'atuka?

Mda si mrefu atateuliwa kuwa Balozi, hahahaaaa.

mtu mwenye hadhi ya IGP hawezi kuachwa bila kupewa jukumu linguine ukizingatia kuwa mwema ni msomi. ni mwanasheria. katufanyia mengi mazuri kuliko mabaya. kazi ya igp ni ngumu hivyo tujaribu kubalance tunapo mlaumu.
 
 
Mwema pumzika watanzania wenye sifa ni wengi achia vijana wafanye kazi.
 
Bora huyu kuliko mrithi wake.... Kamanda Advocate Nyombi... Nimtahadharishe tu Nyombi kuwa akiingia hapo aachane kupambana na CDM, apambane na wahalifu... Wapo wa kutosha tu kumkeep bize...

Kama kweli kamanda Nyombi ndiye anaandaliwa kuwa IGP basi ni dhahiri kuwa jeshi la polisi linakuwa tawi la ccm rasmi! Na kama ndivyo basi wananchi tuwe tayari kwa mapambano makali sana ya kulinda na kutetea haki zetu za kiraia kwakuwa ukifika uchaguzi wa mwaka 2015 ni lazima polisi wataongeza mara dufu uharamia wao dhidi ya raia wema wa nchi hii.
 
kwa kweli some times huwa nakuona kama unafanya makusudi ili uone watu watacoment nini na kama sivyo basi wewe si mzima kiakili.
 
Propaganda ambazo hazina ukweli wowote ndio kazi zenu nyie. Kama huoni wala husikii jinsi jeshi la polisi lilivyopoteza heshima yake hata ashuke Mungu kukwambia hivyo huwezi kumuamini. Mie nimemaliza.

Kuna pahala nilisoma hili " No wonder they vent on criticism because they do not know what it takes to build"
 
BAK,

Nini maoni yako kwa maamuzi yanayo tarajiwa kufanywa na IGP Mwema!!?
Kwanza hana tija yeyote kwa mstakabali wa usalama wa nchi. Badala yake analeta siasa jeshini na vurugu kwa kuegemea CCM. AONDOKE
 
Kamuhanda naye yuko mbioni kustaafu.....au hamkumuelewa siku ile alipomuua Mwangosi......
 

....ndio maana input zenu zinahitajika sana kwenye review ya katiba kwenye kipengele cha madaraka ya Rais........
 
Nisije kupewa BAN bure..shkamoo mwema
 
Amefanya alicho weza,tunapaswa kumpongeza na kumshukuru.Kuna vitu ambavyo vinakuwa nje ya uwezo wake ambavyo vinapelekea mambo kuwa kama yalivyo.
IGP ajaye anatakiwa kurekebisha mapungufu yaliyojitokeza hasa ya kuwapa wahalifu unafuu na kukandamiza Demokrasia.

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Mfumo gani? Sema mfumo wa chama tawala CCM. Kama mtawala hataki hayo, wote wataacha hayawezi kuwa na nafasi. Kama wanasema we piga tu hadharani unafikiri kwenye kumwagiana nakugonga mvinyo utokano na PAYE yako wanasemaje? ni Ua tu!
Mfumo wa utawala unajengwa na katiba nguvu zote zikielekezwa huko kuandika mazuio ya unyanyasaji na makandamizo kwa kuwapa wananchi nguvu ya kutumia saini zao kuondoa kiongozi au mtumishi yoyote wa serikali hata angekuwa IGP kila mtu angejua mwajiri wake ni nani na angejipendekeza kwa wananchi lakini makatiba na masheria haya tunayojifunga wenyewe mikono na kuwakabidhi wachache watupelekeshe wanavyotaka ndio tatizo. Kwani huoni kipindi cha uchaguzi wanavyotetemeka? Hadi machinga anakuwa na thamani
 
[MENTION][JFMP3][/JFMP3][/MENTION]
Propaganda ambazo hazina ukweli wowote ndio kazi zenu nyie. Kama huoni wala husikii jinsi jeshi la polisi lilivyopoteza heshima yake hata ashuke Mungu kukwambia hivyo huwezi kumuamini. Mie nimemaliza.

Huyu bwana atakuwa amesoma alama za nyakati japo amechelewa, pia amesoma hali halisi ya siasa ya Tz na CDM inavyokuja kasi pamoja na jitihada zote wanazofanya. Ameona sivizuri historia ya ccm ikafungwa akiwa ndani ya jeshi hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…